sabasaba ya mwakajana na wizara ya mambo ya ndani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sabasaba ya mwakajana na wizara ya mambo ya ndani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kasiwani, Apr 27, 2012.

 1. k

  kasiwani Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapendwa wanajf wote poleni mihangaiko ya huku na kule ya kutwa nzima,ktk kutafuta kariziki.sharehe sabasaba mwaka uliopita zllipendeza kwa kweli tuliienjoy hasa kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho kwa bidhaa,mbuga za wanyama pia shushuli mbalimbali kiofisi zinavyoendeshwa.basi juzi ktk pitapita zangu nimekuta malalamiko kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi kwenye mabanda ya wizara ya mambo ya ndndani kwamba waliahidiwa kulipwa perdiem baada ya sherehe kwisha,lkn mpk sasa kila wanapoulizia malipo yao jibu ni kwamba fungu bado halijtoka.Basi wanajamii wenzangu imenishangaza hivi inawezekana kwaba serikali ilikurupuka?au ndio ufisadi wenyewe,wasaidiwe walipwe jamani,isiwe tena hiyo pesa imepangiwa mambo mengine mara unasikia mtu kanunua nyumba ya milioni mia saba,wakumbukeni hao wenzetu malipo yao.nawasilisha
   
Loading...