Nikiwa ndani ya basi la nganga kutoka mbeya kuja iringa,nimelishuhudia basi la sumry aina ya SKS BUS likiwa chali tairi juu katika kijiji cha ifunda.Kama una jamaa au nduguyo ametoka dar kwenda...
Jamani kama kiongozi anasamehe wezi wakubwa je ni haki? Nani anavunja umoja wetu? Maana hakuna haki kati ya masikini/fukara na Tajiri
Maana wezi wakubwa hata TAKUKURU haina uwezo nao ila wanyonge...
mabweni ya shule ya sekondari ya lakrimu iliyopo moshi yanaungua,moto huo ambao unasemekana umetokana na shoti ya umeme.hv sasa wanafunzi wapo kwny taharuki kubwa.
Chadema chama chetu tunakipenda tunakuwa na waswas kwamba watakapo kuwa madarakan kuta kuwa ma hali ya udictator kutokana na baadhi ya makamanda wamekuwa wanadictate wanawake kufanya nao mapenzi...
Ni RFA tena baada ya tangazo lao la kunawa mikono asubuhi muda wa magazeti sasa wamekuja na jingine ambapo jamaa anaomba unyumba na mke anakataa, nahisi hili tangazo lina ukakasi kimaadili, ambaye...
Leo ktk taarifa ya habari Mlimani Tv Dr Lwaitama amesema katika mchakato wa katiba amesema tunatakiwa tuwe na PM ambaye hafanyi kazi ya utarishi(u-messenger) yaan kutoa taarifa kutoka kwa Rais...
Nitaishitaki CCM Mahakamani, Bado najadiliana na wakili wangu kuhusu hilo.
Nia ninayo, Uwezo ninao, na Sababu ninazo.
Baadhi ya mashitaka yatakayoainishwa ni:
Kupigwa kibao nikiwa mtoto...
Nimemnukuu hotuba yake ya May Day leo....
Ameelezea alivyoempower taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Serikali (CAG). Kisha akatoa maneno hayo akimwelekeza CAG,atakapowaface Mawaziri,na Makatibu...
Hili swali limenijia baada ya kuona majaribio kadhaa ya baadhi ya watanzania kama vile bwana Mwakalinga alipojaribu kugombe jimbo la Kyela kwa kushindana na Dr Harrison Mwakyembe, pia Dr Shayo na...
Maadhimisho yameshaanza na Mh Rais JK yuko jukwaani pamoja na waziri wa kazi Kabaka,
Waandamanaji kutoka idara mbalimbali wanapita mbele ya mgeni rasmi ila mabango yao tu ndiyo kiboko kwa mgeni...
Ninafatilia kwa umakini sana sherehe za siku hii ya wafanyakazi mjini Tanga..
Kati ya mambo yanayonivutia ni hii hotuba ya JK anayoendelea kuitoa. Kiukweli imepangiliwa vizuri sana, na sehemu...
TBS wanakubali kuna uchakachuaji mpya wa mafuta. Wasichosema ni kwamba ni rahisi sana kumpata anayehusika na uchakachuaji, ikionyesha labda wanamuonea aibu. Kama uchakachuaji unafanyika nchini ni...
Kutokana na kujaa ahadi hewa,ni bora haya maadhimisho yawe yanafanyika April 1,siku ya wajinga ili tujue kuwa yote yanayozungumzwa siku hiyo ni kwa sababu ni diku ya wajinga.
Jamani nisaidieni,
Hivi haya maziwa ya tanga fresh au desa mtindi na fresh ni maziwa halis au? kuna mtu aliniambia ni unga wa muhogo wanachanganya na maziwa ya unga.
Msaada plz!
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?
Taasisi zenye alama fulani...
Nataka niamini kuwa kuna baadhi ya wafanyakazi wa posta Tanzania wasio waaminifu na wamekuwa wakipekua na kuiba parcels za wateja haswa zile zinazotoka nje ya nchi. Mimi ni mwaathirika ambaye...
UKISTAAJABU ya Mussa utayaona ya Firauni, ndivyo unavyoweza kusema baada ya wakazi wa Kitongoji cha Itezi Magharibi, Kata ya Itezi, jijini Mbeya, kuamua kumzika mwenzao akiwa hai.
Wananchi...
Wafanyakazi katika taifa lolote ni kada muhimu sana katika ustawi wa taifa ukizingatia kywa ndiyo walipa kodi wa uhakika.Kwa bahati mbaya,hapa nchini kwetu,wafanyakazi(wengi wao)wanalipwa ujira...