Mei mosi,siku ya ahadi hewa kwa wafanyakazi.

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Wafanyakazi katika taifa lolote ni kada muhimu sana katika ustawi wa taifa ukizingatia kywa ndiyo walipa kodi wa uhakika.Kwa bahati mbaya,hapa nchini kwetu,wafanyakazi(wengi wao)wanalipwa ujira usioendana na hali halisi ya maisha,lakini wanalazimishwa kuishi na hali halisi.Matokeo yake wafanyakazi wameamua kuiibia na kuihujumu serikali ili kujipatia hela ya kutosheleza mahitaji yao.Wameamua hivyo na wanafurahia maisha hayo.Hata ukiwaona sasa TBC 1 utadhani wanalipwa mamilioni kwa jinsi walivyo na furaha.
 
Back
Top Bottom