Uchakachuaji mpya wa mafuta: TBS msituchanganye kuweni serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji mpya wa mafuta: TBS msituchanganye kuweni serious

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, May 1, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  TBS wanakubali kuna uchakachuaji mpya wa mafuta. Wasichosema ni kwamba ni rahisi sana kumpata anayehusika na uchakachuaji, ikionyesha labda wanamuonea aibu. Kama uchakachuaji unafanyika nchini ni dhahiri mchakachuaji atakuwa anaingiza nchini kiasi kikubwa cha ethanol, na hivyo kumjua ni rahisi. Kama ni muagizazi wa mafuta (Augusta Energy) basi uchakachuaji ni rahisi kufanyika pale refinery anaponunua mafuta. Au pia, ataufanya baada ya kupakia toka refinery kwa kujazia ethanol ndani ya meli yenye mafuta toka refinery. Hivyo rekodi zitaonyesha kiasi cha mafuta anayonunua refinery na anayofikisha nchini ni tofauti.

  Kama wiki tatu zilizopita niliweka thread yenye kichwa "Gari lako liko hatarini: uchakachuaji mpya wa mafuta", nikieleza wazi kwamba anayechakachua anafanya hivyo kwa kiwango cha zaidi ya 90:10 ya blending ambayo huharibu magari.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  unazungumzia tbs wa nchi gani?
   
Loading...