Maziwa ya pakti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maziwa ya pakti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tmlekwa, Apr 30, 2012.

 1. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  jaman nisaidien,hivi haya maziwa ya tanga fresh au desa mtindi na fresh ni maziwa halis au? kuna mtu aliniambia ni unga wa muhogo wanachanganya na maziwa ya unga.msaada plz!
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni maziwa halisi. Na ukitaka mtindi bora zaidi ni: Tanga Fresh na Serengeti. Na kama unataka mtindi usiokuwa na too much fat (less fat) basi tumia serengeti.
   
 3. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanachanganya na mahindi mabichi mm nshaacha kunywa maana watatunyesha hata ya ngamia au ile katoliki
   
 4. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  duh,hapo sasa c ndo kuuana huko jaman!
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Tanga Fresh ya mgando si halisi siku hizi. Kuna watu wanapaki kienyeji mitaani, hasa SINZA. Kuweni waangalifu. Ukitaka kuthibitisha jaribu kununua pakiti kutoka maduka tofauti utaona tofauti kwenye texture, ladha, rangi ya pakiti na mihuri ya expiry date.
  MJINI HAPA!
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaweza kuwa kweli. Nishasikia toka kwa kijana niliyrssfiri naye kati ya moro na dar. Tulipoposhana ns gari lao ndipo akaanzisha mada ya maziwa. Yeye alisema yanachang'anywa na viazi.
   
 7. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  sa jaman c bora kula viaz vyenyewe au hayo mahind au mihogo! ki ukwel ipo cku kutakua hakuna hata kitu kimoja ambacho ni halis na ni hapo sasa oceanroad hospt itakua haitosh.
   
 8. M

  MWENDO UGIMBI Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  FUNGO jr, habari hiyo siyo kweli, maziwa ya tanga fresh hayachanganywi na chochote ni maziwa halisi kutoka kwa mama ngombe hayaongezwi chochote iwe kemikali, huchemshwa kuuwa wadudu wenye athari kwa afya yetu, halafu hupatikiwa kwenye pakiti.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  siku hizi watu kwa kuharibiana biashara......
   
 10. G

  GWATABHIKURUME Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa Tanga Fresh wako makini tena wako very open na mfumo wao wa kupokea na kusindika maziwa tumetembelea pale mara kadhaa na wanakaribisha watu kiwandani kuona na kutembelea mfumo mzima wa usindikaji.
   
 11. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  ngoja nijipange niende tanga kiwandan kwao then takachokiona takiweka hapa!
   
Loading...