Kikwete Mrisho Jakaya: "...Wataje...,Waseme..., Wafedheheshe...!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Nimemnukuu hotuba yake ya May Day leo....

Ameelezea alivyoempower taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Serikali (CAG). Kisha akatoa maneno hayo akimwelekeza CAG,atakapowaface Mawaziri,na Makatibu wao,na pale alipoitisha mkutano na Wakurugenzi na Wenyeviti wa H'shauri/Manispaa..

My take:
Bado anasound vile vile.. "Hana lawama,asilaumiwe yeye.."
 
Kwenye sikukuu ya wafanyakazi badala ya ku-adress namna anavyotatua kero za warumishi anaeleza namna gani anaserikali na uongozi mbovu unaohitaji mikakati ya kubanwa ili watimize wajibu.
 
Kwenye sikukuu ya wafanyakazi badala ya ku-adress namna anavyotatua kero za warumishi anaeleza namna gani anaserikali na uongozi mbovu unaohitaji mikakati ya kubanwa ili watimize wajibu.

Dah.. We umeanalyse vizuri..
Yaani namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi wala hakuongelea pay increment ..
 
m.kwere hakuwa na sio presidential material,yeye na wenzie ni kikundi cha wahuni waliofanikiwa kuiteka ikulu na kuiba rasilimali,sasa anatamani 2015 ifike kesho
 
m.kwere hakuwa na sio presidential material,yeye na wenzie ni kikundi cha wahuni waliofanikiwa kuiteka ikulu na kuiba rasilimali,sasa anatamani 2015 ifike kesho

ikifika ataenda wapi?
kitu kingine kinachomtafuna.
 
Back
Top Bottom