Pinda kama Tarishi-Dr. Lwaitama

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Leo ktk taarifa ya habari Mlimani Tv Dr Lwaitama amesema katika mchakato wa katiba amesema tunatakiwa tuwe na PM ambaye hafanyi kazi ya utarishi(u-messenger) yaan kutoa taarifa kutoka kwa Rais kwenda wa wananchi and vice
versa!
Nilikuwa najiuliza bia jibu...hivi na maPM waliopita kama vile Lowasa, Sumaye, Warioba...etc...wot walikuwa vibogoyo kama huyu mtoto wa ze farmer?
 
Subiri nitarudi baadaye kukupa jibu
 
Duh! lkn ni kweli huyu PM wetu ni km joka la kibisa, hana sumu
 
Back
Top Bottom