Live! Maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Tanga

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Maadhimisho yameshaanza na Mh Rais JK yuko jukwaani pamoja na waziri wa kazi Kabaka,
Waandamanaji kutoka idara mbalimbali wanapita mbele ya mgeni rasmi ila mabango yao tu ndiyo kiboko kwa mgeni rasmi..mengi yanasema hivi!
Mshahara duni, Mfumuko wa bei na kodi kubwa kwenye mishahara huchangia maisha magumu kwa wafanyakazi...
Halaf mtangazaji anasoma kila bango...inafurahisha sana..
Jk anajichekesha kinafikinafiki kama ana furaha vile...
 
kuna wengine wamepita mbele ya JK wamenuna bila kumpungia mikono mpaka MC akawaambia mbona hamumpungii Rais jameni?....
 
walimu wanapita mbele ya jk...wanaimba eti wao ndio tegemeo la taifa...
 
Back
Top Bottom