Nasema hapana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasema hapana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, May 1, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,871
  Likes Received: 4,254
  Trophy Points: 280
  Ni RFA tena baada ya tangazo lao la kunawa mikono asubuhi muda wa magazeti sasa wamekuja na jingine ambapo jamaa anaomba unyumba na mke anakataa, nahisi hili tangazo lina ukakasi kimaadili, ambaye amelisikia atoe maoni yake.
   
 2. M

  Mboerap Senior Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimewahi lisikia. halina hata chembe ya staha. Maneno wanayojibizana hao waigizaji yanatia kichefuchu. Nilikua nimekaa na waif tunaonge hafla tukasikia makele ya mabishano ya hao waigizao kwenye hlo tangazo. Lo!! Ilikua fedheha kweli. Yaani masharti na vigezo havikuzingatiwa kabisa
   
Loading...