Kikwete ni kiongozi mzuri sana kwa mtazamo wangu. lakini ushkaji sasa..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Ninafatilia kwa umakini sana sherehe za siku hii ya wafanyakazi mjini Tanga..

Kati ya mambo yanayonivutia ni hii hotuba ya JK anayoendelea kuitoa. Kiukweli imepangiliwa vizuri sana, na sehemu kubwa ya hotuba anatoa kichwani. Jamaa amegusia almost kila nyanja hapa nchini hasa sensitive matterz, kama ripoti ya CAG, Katiba mpya, mfumko wa bei, ajira n.k na mkakati wa serikali katika kukabiliana na kurekebisha changamoto zote zilizopo, ikiwa ni pamoja na kutekeleza matakwa ya kamati za bunge {kureform ministerz cabinet}.

Zaidi ni jinsi alivyojidadavua kwamba yeye ndio chachu au kiini cha uwazi katika masuala ya serikalini hasa matumizi ya jambo {Mkapa hakufanya hivi},

Japo siipendi CCM toka moyoni, ila naunga mkono hotuba ya JK ya leo..

Remains true Revolutionalist
Mbumbumbu mwenye akili.
 
Me navutiwa na suala la Transparency,hata report ya CAG ni uwaz mkubwa xana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom