J.k aenda kutoa salam za mwisho kifo cha aliyekuwa dereva wa ikulu

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Wapendwa wana JF leo mchana JK aliwasili nyumbani kwa aliyekuwa Dereva ikulu kutoa salam zake za mwisho kwa marehemu dereva huyo kabla ya maiti kusafirishwa kwenda morogoro.

Source TBC.

Yawezekana kushirik kwake misiba ni kwasababu anajali sana jamii na leo week end hakuwa buzy
 
Wapendwa wana JF leo mchana JK aliwasili nyumbani kwa aliyekuwa Dereva ikulu kutoa salam zake za mwisho kwa marehemu dereva huyo kabla ya maiti kusafirishwa kwenda morogoro. Source TBC. Yawezekana kushirik kwake misiba ni kwasababu anajali sana jamii na leo week end hakuwa buzy

:biggrin1::biggrin1:
 
Huyo ni mfanya kazi mwenzake wa ofisi moja ni jambo jema sana kwake kwenda kuwafariji wafiwa.

Kwa hili anastahiki kila pongezi.
 
ni namna yake ya kupata coverage maana hana kazi ya kumfanya awe busy na kuweza kuonekana kwa tv! ila namuunga mkono kwa kwenda kuwahani wafiwa!
 
Wapendwa wana JF leo mchana JK aliwasili nyumbani kwa aliyekuwa Dereva ikulu kutoa salam zake za mwisho kwa marehemu dereva huyo kabla ya maiti kusafirishwa kwenda morogoro.

Source TBC.

Yawezekana kushirik kwake misiba ni kwasababu anajali sana jamii na leo week end hakuwa buzy

He play his part nadhani ni moja kati ya malengo aliyoyaweka kabla hajaingia madarakani ya kuwa hatokosa mazishi ya msiba wowote!
 
Back
Top Bottom