Hongereni Wajapani kwa kuutangaza mlima Kilimanjaro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni Wajapani kwa kuutangaza mlima Kilimanjaro.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, May 6, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Jamani habari za weekend natumai kila mmoja yuko sehemu inayompa mapumziko mema ya mwisho wa wiki.Niko kwenye tv sebuleni nimepumzika ktk kubadilisha chaneli nikaweka chaneli ya NHK ya Japani kilikuwa kinamalizika kipindi na kuanza kipindi kingine na mtangazaji akaanza na hapa namnukuu ktk lugha ya kiswahili.Karibuni barani Afrika unapopatikana mlima mrefu kuliko yote ndani ya Afrika na mlima huo si mwingine bali ni Mlima Kilimanjaro unaopatikana nchini Tanzania kaskazini mwa jiji la Dar es salaam.Wenyeji wanaouzunguka mlima huo ni Kabila la Wachaga.Alieleza mengi na sifa za mlima huo na tamaduni na mila za kabila la Wachaga kama mwandishi anayetoka ktk nchi ya Tanzania.Swali nililobaki najiuliza kama wenzetu Wajapani wanauona umuhimu wa mlima huu iweje sisi wazawa changamoto kwenu Wizara husika ya Mali asili na Utalii kuweni na mipango endelevu ya kuutangaza mlima huu na si kubakia kukwapua vivutio vya nchi hii na kupeleka nje ya nchi.
   
 2. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  asanteni wajapani kwa kutusaidia kazi ya kuutangaza mlima we- mlima wetu kweli!
   
 3. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri mhusika alikuwa bize anagawa vitalu vya uwindaji,kununua nyumba na kuuza twiga
   
Loading...