Mh Adam Kighoma Malima, hii ni promosheni au demotion? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Adam Kighoma Malima, hii ni promosheni au demotion?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, May 7, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wadau ninafuatilia hawa mawaziri wa kikwete wakiapishwa na nimemuona adam malima akiapa kuwa naibu waziri wa chakula na kilimo, akitokea Nishati na madini nimetafakari nikaona kama vile hii ni demotion. Pamoja na kubakia kwenye baraza la mawaziri au nyie mnasemaje?
   
 2. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,199
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Toa job descriptions na scope of work za hiyo post katika hizo wizara then tuanze kujadili kama kutakuwa na mjadala.......sio suala la.........kuona kama vile au watu watavyosema.................


   
 3. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  KAkwambia nani? bado ataendeshwa kwa gari, atafunguliwa na kupapatikiwa, na kama ataitumia vizuri na vema hiyo wizara basi atajijenga vema maana sasa hivi kilimo ndio kinalipa! nitamtafuta nimpe mawazo mawili matatu! mie naona AMEULA kuliko kule !
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Huo ni ulaji tu
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Ni mtazamo tu, hebu tupe protocol ya wizara zote za bongo kuanzia ya juu hadi ya chini!!!
   
 6. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mshahara ulelule,cheo kilekile cha naibu waziri,marupurupu yaleyale sasa demotion hapo iko wapi?
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Utingo na mpiga debe wote watumishi kwenye basi
   
 8. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Kwi kwi tena huku kwenye kilimo kwanza ndio atatusua zaidi hasa kwenye vocha za mbolea kama namuona vile anavyo kusanya 20 % maana 2015 kiama lazima wajitengenezee kiinua mgongo fasta .
   
 9. J

  Jichokuu Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ulitakaje? Unamaanisha wizara ya kilimo ni ya kipuuzi? Think big...Wewe.
   
 10. v

  vsttz Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  hii ndo TZ bwana kila mtu ana angalia vitu kwa mtizxamo wa ulaji tu badala ya kufikiria uzalendo...huu ndio mtizamo wa mtoa hoja sababu anaona kilimo hakuna deal.
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,411
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  Adam Malima na mkweree wanalindwa na mapete walioachiwa na mnajimu kwahiyo wao ni damu damu hawezi kumtema!!
   
 12. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  you are right!
   
 13. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  MADINI:kama naibu waziri unayo nafasi kubwa ya kukutana na mikutano na makongamano mengi ndani na nje ya nchi ukiiwakilisha nchi pale ambapo waziri wako amebanwa na kukosa nafasi ya kuhudhuria,pia unakutana na challenge kubwa za kimataifa zaidi hususani wawekezaji na miradi mbalimbali ya nishati na madini nchini

  KILIMO NA CHAKULA:Utahusika moja kwa moja na ziara mbalimbali ndani ya nchi yetu kukagua miradi mbalimbali ya kilimo na pia kutatua migogoro mbalimbal ya vyama vya ushirika pamoja na migogoro kati ya wakulima na wanunuzi wa mazao kama kule tandahimba nk..
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,616
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Hamna demotion hapo, hata hiyo wizara yake mpya kuna madeal kibao akiwa mjanja itamtoa. Na ninaamini Malima ni mtoto wa mjini lazima awapige tuu washamba shamba kwa mfano.
  1. Kuna ma deal ya mi-power tillers unapiga mihela ya ukweli
  2. Kuna namna ya kucheza na ile mimbolea ya Ruzuku unapiga mihela ya ukweli
   
 15. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  1:ULINZI
  2:FEDHA
  3:MAMBO YA NDANI
  4:NISHATI NA MADINI
  5:MALIASILI NA UTALII
  6:TAMISEMI
  7:UCHUKUZI
  8:ELIMU
  9:MIUNDOMBINU
  10:UTAWALA BORA
  11:SHERIA
  12:UTAMADUNI NA MICHEZO
  unaweza endeleza au kunkosoa pale nimeenda wqrong!
   
 16. M

  Mbilimbili Senior Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hajala nyingi sana ndio maana kabakishwa.
   
 17. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ila kama alituibia kwenye madini bila huruma.je huku si atatuulia wakulima wetu kwa ulafi wake si atalazimisha hata powertilla za malaysia hata kama udongo wao na wetu ni tofauti?
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,543
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbolea za ruzuku kushnei!
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Katika manaibu ambao nilitegemea wataondolewa ni pamoja na huhu Adam Kighoma Malima!!! Sijawahi kuona utendaji wake zidi ya ule wa ile hotel Morogoro wakati yule CD mjanja alivyojipatia vile visjisenti! Nafikiri strenght/expertism yake iko maeneo hayo!!
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hivi hata kilimo chenyewe anakijua? Anajua mbolea ya Minjingu ambayo wakulima hawaipendi?
   
Loading...