Makubwa ya iringa mmhh??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makubwa ya iringa mmhh???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wade kibadu, May 3, 2012.

 1. w

  wade kibadu Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapendwa wana jf ni zaidi ya miezi miwili sasa toka nipate habari za tetesi kwamba ina semekana kuna mlima mkubwa sana umeuzwa kwa jamaa moja wa kimarekani ambalo limepewa na hati ya umiliki na hapohapo kuna watu wanaishi humo wamejenga makazi yao.

  Aliye uza mlima huo haieleweki na kama ni kweli umeuzwa tunakoelekea kubaya tutauzwa na watu.

  !!MLIMA WA IPOGORO ADI TAGAMENDA IRINGA MJINI???.
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mlima gani tena mpendwa.
   
 3. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  Mlima mkubwa sana unamaanisha nini, em tutajie basi jina la huo mlima manaake ss wengine ukitaja mlima mkubwa sna ni Kili....
   
 4. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naomba nikufahamishe kwamba na raia wote wameshauzwa ila sema tu mmiliki hajaja kuwekeza. Mtapelekwa kufanya kazi kwenye mashamba ya nyanya Brazil.
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  fubnguka mkuu, mlima upi ?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kilimanjaro?
   
 7. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Mwanzisha mada hueleweki.
   
 8. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Je, ni Kitonga? Au mlima magome au ni kule ikonda makete? Funguka basi.
   
 9. m

  maggid Verified User

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Na duniani hapa kuna milima na miinuko! Mie naishi Iringa, lakini hili sijalisikia. Kama ni kweli, basi, ni makubwa na marefu kama mlima!
  Maggid
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Oooh kili bariiidiiii
   
 11. w

  wade kibadu Senior Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mlima wa ipogoro adi tagamenda.
   
 12. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  naomba utambue nchi yetu tu watumwa ndani ya nchi yetu. kwa kifupi sisi tunaelekezwa hata kama ni jk ni rais mfu maana anaongozwa na nvhi za magaharibi hana jipya hata tufanyeje hatuwezi kuruka katika mtego huu
   
 13. w

  wade kibadu Senior Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mlima wa ipogoro adi tagamenda.
   
 14. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mambo ya Tz hayo. kama ni kweli basi ni kasheshe tupu. unaweza kuishi mahali kumbe wewe na ardhi mmeuzwa! ukitaka kuhama unaambiwa hauwezi kwani umenunuliwa na inabidi utumikie 'tajiri/master' kwa miaka kadhaa kabla ya kujipatia 'uhuru' wako. Sishangai kwa mambo ya nchi hii jinsi yanavyopelekwa. inakuwa kama vile viongo-zii ni mazezeta au vipofu au wamepagawa au wamepigwa juju... ah!!!
   
 15. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Tetesi zimekuwa nyingi sasa nyingine hata hazieleweki...........jiandaeni kesho nakuja na yangu........Tetesi: Jk kujiuzulu
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Habari Unatoa ni finyu; kama ni Hoja wengine tunataka more information ni mtu gani au ni kampuni gani

  Wengine tunaweza kufuatilia tukiwa nje ya nchi; Tetesi ni nyingi hazitusaidii wengine najua wengi wanapenda Tetesi;

  Hawapendi habari kamili lakini inaleta uchovu na pia kushusha hadhi ya JAMII FORUM
   
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Uwekezaji ni muhimu kwa taifa lolote duniani!
   
 18. r

  robbins emmy Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Always nimekua nikifuatilia comment zako bt napata shda kuelewa kama wew ni mtz au laa evn though wanadai wew ni mpemba bt haitoi ruhusa kwako kuwa na mawazo finyu kama hayo yote ambayo huwa unayatoa humu! if it was a live interview i could say you've a mental problem,bt when it become umeshika botton za simu/pc ukagoogle jf na kusign in peke ako......napata tabu kwel kujua hw stupid u are
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu jamaa simpendi kweli anatafuta umaarufu jf kitoto
   
 20. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  bush alipokuja tanzania na kukaa hata kucheza ngoma za kimasai mlifikiri anakuja kuchezea muda? Kiazi hiki tulicho nazo kimeoza ndani kuna mafilifili ile mbaya. Ndo hivyo alikuja kumzezetua kikwete angalia walivyokuwa wanatia sahihi mikataba ya karlpeters bush anamshangaa kikwete anavyotumia muda mwingi kutia saini. Jamaa kamzidi kila kitu kaja hapa mgeni lakini alivyodominate utafikiri kikwete ndiye aliyekuwa mgeni. Ndo hivyo jamani tumeshaliwa . Mkwawa alikuwa na akili NYINGI SANA kuliko VIONGOZI MADR FEKI wa leo hapa lazima ashushe laana kwa washenzi hawa. Eeee! MTWA MKWANYIKA !Tukumbuke wanao mlete shujaA mwingine awasambaratishe akina mangungo wa leo . Wewe ndiye shujaa na utabaki shujaa milele uliyekataa kuguswa na wazungu ukiwa hai uko wapi shuka leo tukomboE toka minyororo ya vilaza wa leo toka pwani
   
Loading...