Maisha ya zamani na sasa, wapi upo unafuu

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Leo mchana nimeingia mgahawa mmoja hapa Ilala,Iringa mjini,nimemkuta mama ambaye ni mmiliki wa mgahawa huo akiwaambia vijana waliokuwepo ktk mgahawa huo kuwa maisha ya sasa ni bora kuliko ilivyokuwa zamani.Aliegemea kigezo cha upatikanaji wa fedha,alidai zamani ilikuwa ngumu sana kupata shs.1000 lakini sasa ni rahisi kuipata sh.100,ooo.
wana jf mnijuze hicho ni kigezo sahihi?
 
Back
Top Bottom