Jamani wana KV Tesha hafai

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Inauma sana watu wa Kirua Magharibi kumchagu Tesha.

Jamani naomba yaandaliwe mazingira ya kupata ile kata. Iwekwe mikakati kufungua Matawi ya kutosha ili kuiongezea Chadema nguvu.

Matawi ya chama yaliyokufa yafufuliwe. Hata ikiwezekana iandaliwe warsha ya ukusanyaji wa hela za kuing'oa CCM Kirua.

Kufanya mikutano ya hadhara; M4C.

Achaguliwe mgombea mwenye ushawishi na anayetoka maeneo ya Iwa, Nduoni au Kanji ambayo pia yana wapiga kura wengi.

Tujadili.
Naomba na wewe uongezi njia ambazo inabidi zitumike kufanikisha KV for Chadema.
 
kwani kirua kuna CDM? ninavyojua wakirua wameapa kufa na lyatonga mrema, potelea mbali hata kama analala mpaka anaangusha denda bungeni, wakikumbuka anavyowatembelea kwenye vilabu vya mbege acha tu, lyatonga tunakupenda kama ugali na mchicha
 
Tesha ni diwani wa kata ya kirua vunjo magharibi wa chama cha magamba, ni mvivu sana kiutendaji na kifikra, kirua vunjo mashariki ina diwani alex umbela wa chadema ila nae sioni lolote kubwa kalifanya, rombo nako mbunge wetu joseph selasini kama sio pesa mbili, sioni chochote kipya kakifanya. Jamani kv tuandae mkakati wa kuwatafuta viongozi bora na sio chama, chagua mtu na sio chama. Ila gamba tulikwepe kama ukoma
 
Tesha ni diwani wa kata ya kirua vunjo magharibi wa chama cha magamba, ni mvivu sana kiutendaji na kifikra, kirua vunjo mashariki ina diwani alex umbela wa chadema ila nae sioni lolote kubwa kalifanya, rombo nako mbunge wetu joseph selasini kama sio pesa mbili, sioni chochote kipya kakifanya. Jamani kv tuandae mkakati wa kuwatafuta viongozi bora na sio chama, chagua mtu na sio chama. Ila gamba tulikwepe kama ukoma

huyu selasini sijui cdm walimtoa wapi,hamna kitu
 
Acheni kulalamika wana kv tesha mmemchagua kwa mara ya pili tesha, mhura wa kwanza hamkuona mapungufu yake?
 
Nashauri cdm waanze kumuandaa mrithi wa thelathini 2015. Thelathini apangiwe shughuli nyingine vinginevyo ccm watarudisha jimbo . Jamaa kajisahau
 
Rombo CHADEMA walishinda kwa sababu ya kosa la kipumbavu alilofanya Mramba, Vunjo pale Merema ni as if amepewa pension kwa kuwatumikia miaka mingi, next general election ccm wasahau, kata mbili za kirua magharini na kirua kusini inayojumuisha maeneo ya uchira mpakani mwa njia panda na miwaleni, kata hiyo inahitaji nguvu ya ziada, kumbuka hawa watu hawakuwa na maji ya kuaminika for years but in the last 7 yrs kumekuwa na miradi mikubwa sana ya maji. Pia barabara inayokwenda kirua vunjo kupitia kawawa road imeanza kutengenezwa.
Wakirua ni watu wa kuridhika kirahisi hasa wale wanaotumiwa vijisenti na watoto wao kutoka mjini.
Hawaoni tatizo na serikali, wanaamini hali ya hewa ndio iliyopelekea kahawa kufa na kilimo kudidimia.
Hawajiulizi kwanini vituo vya afya vilikuwa first class miaka ya nyuma na sasa literaly vimekufa,!! Ni wasahaulifu na warahisi wa kusema sasa kama wewe ndio ungekuwa kiongozi ungefanya nini wakati hali ni mbali kila mahali!!
 
Back
Top Bottom