Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UWEZO_WAKO, May 7, 2012.

 1. UWEZO_WAKO

  UWEZO_WAKO Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAMU URAIS.png

  Utafiti wa awali unaonyesha ugomvi wa kugombea urais ndani ya ccm umepungua na utazidi kupungua hasa wanachama na viongozi wengi wanapozidi kuhamia cdm. mmoja wa wa makada wa ccm waliohojiwa alinukuliwa na utafiti huu wa kujitegemea akisema...sasa wewe unaniuliza nini wewe huna macho ya kuona..sasa utatamani kugombea urais wakati wapiga kura wanahamia upinzani. Lakini pia kuna mkakati wa kuifaulisha ccm katika chama kingine ambacho kwa kifupi kinaitwa CHM...Hata hivyo utabiri wa utafiti huu umeonyesha chama hicho itakichukua miaka mingi kupata ukubali wa wanachi hasa wakati ambapo CDM watakapoanza kuvurunda.
   

  Attached Files:

 2. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba hawaamini mpaka sasa kuwa wame poromoka. Msikieni Nape na Chiligati wanavyo ongea kana kwamba wako kwenye mioyo ya watu. Wamekuwa kama Thomaso wa kwenye Biblia aliye sema kuwa haamini Yesu amefufuka mpaka aguse kwenye viganja vyake. Na wao hawaamini kama watu wana hama. Sasa hawa magamba wanaona kama mzaha vile mpaka yatakapo wakuta. Au matunguli na mipete wanayovaa ndiyo inawapa matumaini?
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimecheka sana has pale kwenye kuifaulisha, hongera kwa ubunifu huu lakini ndiyo ukweli ambao hawanabudi kuukubali na kuachia liende!
   
 4. S

  Satanic_Verses Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo CHADEMA inapoteza umaarufu wake mwaka 2040. Nimeshakufa zamani!!!
   
 5. S

  Satanic_Verses Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabia za madikteta ni kupiga kelele hata kama dunia nzima inajua umezingirwa na hutapona. Tuliona hili kwa Sadam, Gaddafi, Osama na wengine unaoweza kuwataja.
   
 6. UWEZO_WAKO

  UWEZO_WAKO Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Satanic_Verses nimeipenda hiyo kwenye red, lakini sidhani kama Nape na Chiligati ni Madikteta labda jina jingine lenye kupungua kidogo makali.
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kipindi hicho mi ntakuwa na miaka 56 nategemea ndo ntakua mgombea urais wa cdm akitakufa nguvu kitapeta milele kina el,jmk sijui watakuwa wapi?
   
 8. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema daima kitakuwepo,misingi na sera zake zitadumu karne 1000.siyo magamba miaka 50 choka zaidi ya mbaya.
   
Loading...