ATCL kwenda kukodi ndege Misri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATCL kwenda kukodi ndege Misri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Apr 26, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), inatarajia kupata ndege nyingine kutoka Misri, baada ya ndege yake kupata ajali ikiwa mkoani Kigoma hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi wa ATCL, Paul Chizi, maofisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wanatarajia kwenda Misri kukagua ndege itakayotumiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya safari zake nchini.
   
 2. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hili shirika lina watu wa ajabu sana kazi kufikiria mitaji kuifilisi shirika badala ya kujenga shirika. Utakuja kusikia wamekodisha ndege kwa $ milioni 500 badala ya kununua ndege mpya ya Airbus kwa dola milioni 3 tu! Kukodisha ni mwanya wa ufisadi kwani wajanja wanaweza kuwa wameshaongea na wa wamisri wawakatie chao Menijiment ya ATCL pamoja na bodi na waziri wao needs to go wizi mtupu.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sijui waziri Nundu atajenga utetezi gani kwa hili. Historia inajieleza shirika lilivyofilisika kutokana na kukodi ndege, bado jinamizi linaendelea.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ufisadi mwingine mkubwa unakuja...

  Hapa cha kujiuliza atakula nani hilo dili, ni Maige, Ngeleja, Nundu, Mmalawi (Mkulo) au Mkulu mwenyewe???
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  ATCL haina bodi, shirika LINAENDESHWA NA NUNDU MWENYEWE akishirikiana na mteuzi wake kaimu meneja mkuu Paul Chizi!!

  Serikali ya kishikaji hii kwani kila mmoja wao anakula kwa urefu wa kamba yake; Ngeleja anauza madini na mitammbo ya umeme wa dharula na kupata mshiko wake huku Maige akiuza Twiga naTembo kwa kwenda mbele!!
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sijui viongozi wa hili shirika hawaoni wenzao wakenya-
  kwa nini wasinunue ndege mpya hata kwa mkopo?hili swala la kukodisha na mwisho wa siku kulip ahela nyingi na kurudisha mali ya watu-itamaliza kodi zetu.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Mi yangu macho ile ya mwanzo ilikodiwa Lebanon sio? sasa wanaenda Misri waarabu hujuana kwa vilemba vyao! tukiidondosha itabidi tuwape Ikulu kabisa!:whip:
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo mawaziri wa JK wanatufanya watanzania mabwege inauma sana hembu angalia bei ya ndege kubwa kabisa Airbus A380 Jumbo Jet inauzwa bei hii hapa:-

  [TABLE="class: infobox"]
  [TR]
  [TH="colspan: 2, align: center"]A380[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"] [​IMG]


  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"]An Emirates A380 on final approach to land at Paris-Charles de Gaulle Airport[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Role[/TH]
  [TD]Wide-body, double-deck jet airliner[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]National origin[/TH]
  [TD]Multi-national[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Manufacturer[/TH]
  [TD]Airbus[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]First flight[/TH]
  [TD]27 April 2005[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Introduction[/TH]
  [TD]25 October 2007
  with Singapore Airlines[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Status[/TH]
  [TD]In production, in service[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Primary users[/TH]
  [TD]Emirates
  Singapore Airlines
  Qantas
  Lufthansa[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Produced[/TH]
  [TD]Since 2004[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Number built[/TH]
  [TD]85 as of 3 February 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Unit cost
  [/TH]
  [TD]US$389.9 million[SUP][2][/SUP] (approx. €300 million or GB£252 million)[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Sawa na Billioni 400 hadi 500. But tunaambiwa kukodisha ndege kwa gharama za ajabu mfano huu hapa:-

  [h=6]Shirika la ndege la Taifa ATC wamekodisha ndege kutoka Wallis Trading, na Shirika La Ndege la Taif la Zimbabwe wamakodisha ndege kama hiyo ( Airbus 320) kutoka kwa hao hao Wallis Trading, ATC wanalipa $32.6 sawa na Tsh 52 bilion na Zimbabwe wanalipa $16
  sasa najiuliza hiyo ya Zimbabwe ni Mchina na Yetu ni ORIGINAL au hiki ni nini? tungeweza kukodisha ndege mbili lakini ile ya Ndege ya pili imekwenda kutumboni kwa mtu
  hiyo ni TANZANIA NAKUPENDA WEWE, NCHI YANGU MIEEE
  he government has opted for thorough review of the controversial lease agreement of aircraft Airbus 320, whose bill went to a staggering amount of $32.6 million (Sh52 billion).
  The new government position came upon learning that the aircraft, leased to Air Tanzania Company Ltd (ATCL) by a Lebanese company, Wallis Trading Inc. was sold in Zimbabwe at $16 million, less than 50 percent of the leasing bill accumulated by the country's flag carrier.
  The minister for Transport Omari Nundu told The Guardian on Sunday on the sidelines of a press conference this week in Dar es Salaam that the government was not ready to pay unjustifiable debt.
  "I have no detailed information yet, but I have heard that the aircraft was sold at $16 million. We are going to make a keen follow up to establish what happened and the way forward," explained the minister.
  "As a country we can not deny paying if the debt is clear and genuine, but we can not pay if we are not satisfied with all aspects on how the debt arose and the eventual selling of the aircraft," he said.
  During the press conference, Eng. Nundu warned management officials of parastatals under the ministry against subjecting the ministry to bogus deals that end up costing the nation. Severe measures would be taken against offending officials, he asserted.
  On November 13, 2011 this paper reported exclusively that taxpayers were set to pay Sh22.64 billion for service that wasn't delivered and that the plane was sold at $16 million.
  The said money is an accrued debt of leasing the aircraft A320 for a period of 34 months, during which the same aircraft remained on the ground in France undergoing major technical maintenance, but the leasing charges were same as a flying one.
  The aircraft flew for only seven months from May to December 2008 mainly on the Dar es Salaam – Johannesburg route. It remained in the hands of ATCL for 48 months.
  Minister Nundu said that the lease act review was unavoidable even if it leads the leaser (Wallis Trading) to opt for court action against the government, as sole shareholder for ATCL.
  He said the ministry would not be excessively worried about court action as paying the current debt was worse than a proper outcome of court action, comparing the situation with the investment agreement with Rites of India for the Tanzania Railways Ltd. The two parties accepted to cancel the agreement in 2009.
  The Guardian on Sunday has reliably been informed that the selling of the aircraft (Airbus A320) in Zimbabwe at $16 million last October is a fact that Wallis Trading has been avoiding to be known to Tanzanian authorities. "They are clearly aware that this fact is serious and controversial, that is why they have attempted to ensure it remains covered until the leasing bill is paid," disclosed a well placed source at the ministry.[/h]
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo mawaziri wa JK wanatufanya watanzania mabwege inauma sana hembu angalia bei ya ndege kubwa kabisa Airbus A380 Jumbo Jet inauzwa bei hii hapa:-

  [TABLE="class: infobox"]
  [TR]
  [TH="colspan: 2, align: center"]A380[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"] [​IMG]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"]An Emirates A380 on final approach to land at Paris-Charles de Gaulle Airport[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Role[/TH]
  [TD]Wide-body, double-deck jet airliner[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]National origin[/TH]
  [TD]Multi-national[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Manufacturer[/TH]
  [TD]Airbus[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]First flight[/TH]
  [TD]27 April 2005[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Introduction[/TH]
  [TD]25 October 2007
  with Singapore Airlines[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Status[/TH]
  [TD]In production, in service[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Primary users[/TH]
  [TD]Emirates
  Singapore Airlines
  Qantas
  Lufthansa[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Produced[/TH]
  [TD]Since 2004[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Number built[/TH]
  [TD]85 as of 3 February 2012[SUP][1][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Unit cost
  [/TH]
  [TD]US$389.9 million[SUP][2][/SUP] (approx. €300 million or GB£252 million)[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Sawa na Billioni 400 hadi 500. But tunaambiwa kukodisha ndege kwa gharama za ajabu mfano huu hapa:-

  Shirika la ndege la Taifa ATC wamekodisha ndege kutoka Wallis Trading, na Shirika La Ndege la Taif la Zimbabwe wamakodisha ndege kama hiyo ( Airbus 320) kutoka kwa hao hao Wallis Trading, ATC wanalipa $32.6 sawa na Tsh 52 bilion na Zimbabwe wanalipa $16
  sasa najiuliza hiyo ya Zimbabwe ni Mchina na Yetu ni ORIGINAL au hiki ni nini? tungeweza kukodisha ndege mbili lakini ile ya Ndege ya pili imekwenda kutumboni kwa mtu
  hiyo ni TANZANIA NAKUPENDA WEWE, NCHI YANGU MIEEE
  he government has opted for thorough review of the controversial lease agreement of aircraft Airbus 320, whose bill went to a staggering amount of $32.6 million (Sh52 billion).
  The new government position came upon learning that the aircraft, leased to Air Tanzania Company Ltd (ATCL) by a Lebanese company, Wallis Trading Inc. was sold in Zimbabwe at $16 million, less than 50 percent of the leasing bill accumulated by the country’s flag carrier.
  The minister for Transport Omari Nundu told The Guardian on Sunday on the sidelines of a press conference this week in Dar es Salaam that the government was not ready to pay unjustifiable debt.
  “I have no detailed information yet, but I have heard that the aircraft was sold at $16 million. We are going to make a keen follow up to establish what happened and the way forward,” explained the minister.
  “As a country we can not deny paying if the debt is clear and genuine, but we can not pay if we are not satisfied with all aspects on how the debt arose and the eventual selling of the aircraft,” he said.
  During the press conference, Eng. Nundu warned management officials of parastatals under the ministry against subjecting the ministry to bogus deals that end up costing the nation. Severe measures would be taken against offending officials, he asserted.
  On November 13, 2011 this paper reported exclusively that taxpayers were set to pay Sh22.64 billion for service that wasn’t delivered and that the plane was sold at $16 million.
  The said money is an accrued debt of leasing the aircraft A320 for a period of 34 months, during which the same aircraft remained on the ground in France undergoing major technical maintenance, but the leasing charges were same as a flying one.
  The aircraft flew for only seven months from May to December 2008 mainly on the Dar es Salaam – Johannesburg route. It remained in the hands of ATCL for 48 months.
  Minister Nundu said that the lease act review was unavoidable even if it leads the leaser (Wallis Trading) to opt for court action against the government, as sole shareholder for ATCL.
  He said the ministry would not be excessively worried about court action as paying the current debt was worse than a proper outcome of court action, comparing the situation with the investment agreement with Rites of India for the Tanzania Railways Ltd. The two parties accepted to cancel the agreement in 2009.
  The Guardian on Sunday has reliably been informed that the selling of the aircraft (Airbus A320) in Zimbabwe at $16 million last October is a fact that Wallis Trading has been avoiding to be known to Tanzanian authorities. “They are clearly aware that this fact is serious and controversial, that is why they have attempted to ensure it remains covered until the leasing bill is paid,” disclosed a well placed source at the ministry.
   
 10. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  Naomba tuandamane kupinga hadi wataporudisha ile waliyokodi na haijawahi kutumika ambayo ipo matengenezoni Ufaransa zaidi ya mwaka.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kweli jamaa ni chizi.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Airbus Dola milioni 3 hupati Mkuu wangu.

  Ndege rahisi kwa sasa na ndogo kwa abiria chini ya 100 unaweza kuzinunua Brazil. Nashangaa Kikwete alikuwa huko na hawaongelei chochote kuhusu hiyo kitu.

  Ndege za Brazil ni bei nafuu na imara sana. Mwanzo watu walikuwa wanasita kuzinunua ila kwa sasa mashirika mengi sana wanazinunua kwa wingi.

  Zinaitwa EMBRAER na muonekano wake ni kama hapa chini.

  [​IMG]

  [​IMG]

  Pamoja na kuwa bei nafuu, ila bei yake inachezea kuanzia US $ 20 kwa ndege ndogo ya Embaer ERJ 120 hadi US $ 40 kwa ndege yao kubwa ya Embaer 195, ndege ya abiria 122.
   
 13. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sawa but kulikoni tukaenda kukodi ndege kwa mkataba ya $ 32 millioni hizo pesa ni afadhali tukanunue ndege yetu. Na kumbuka mkataba wa kukodi pia tunatakiwa kuifanyia matengenezo hiyo ndege pindi ikiharibika. Na huo mkataba sidhani kama unazidi miaka 3. Hiyo ni hasara tupu. By the way zipo ndege za milioni 3 nikiipata moja nitakuletea
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia bei za ndege na jinsi ATCL wanavyolila, lile shirika lilitakiwa kuwa kubwa sana kwa sasa. Ni Maajabu ya Mungu kuona shirika likifa wakati demand ya usafiri ipo kubwa kiasi hicho.

  Ona hawa Private wanavyotesa na bei zake zipo juu sana.

  Angalianbei za ndege kwenye soko la Dunia na uone tungelikuwa na ndege ngapi MPYAAAA......

  Airbus airplanes Airbus France Airbus a380 jumbo jets a320 Hapa ni kwa Boeng.

  Airbus airplanes Airbus France Airbus a380 jumbo jets a320 AIRBUS

  Welcome to Aircraft Compare EMBRAER
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ni kweli zipo ila ni ndege ndogo sana au zimetumika si kawaida.

  Angalia kwenye ukurasa huu hapa utaziona na waweza kuangalia kwa kubadilisha mashirika mengine upande wa juu kushoto.

  Welcome to Aircraft Compare

  Vinginevyo, kama Dola milioni 3 iwe ndege ya abiria basi hiyo ni kifo mkononi. Hizi ni za watu binafsi au za kukodi na kwenye Airport kubwa utazikuta wanaziita AIR TAXI.
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Sikonge, umenikumbusha juzi juzi tu nilipokuwa Zurich International Airport baada ya kutua sisi na dege la Swiss air muda mfupi lilitufuta dege kubwa kama hilo pichani la ghorofa kutoka Singapore kwa kweli moyoni niliwaza hawa walikuwa maskini kama tulivyo sisi na uchumi wao si wa kutisha lakini dege lao linatisha, nikabaki kufikiria hadi zamu ya kupeleka pass kwa ofisa uhamiaji iliponipotezea wazo hili. Nchi yetu ingekuwa mbali mno.
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwakweli Sikonge natamani nimvute sikio mheshimiwa rais alisikilize kiini cha matatizo ya ATCL ni management mbovu, wanasiasa na mafisadi. Ndio maana niliwahi kusema nyuma solution ya hili ni kwanza kuvunja shirika lote likasukwa upya. Kuna alinishambulia kuwa nimuache Mwapachu apumzike but from the records I have this shirika was very sucessful kipindi chake na ndio kipindi tulikuwa tukimiliki ndege zetu wenyewe. Hata hivyo Mwapachu simtaki aje kuliendesha shirika bali kulisuka upya kwani model ya ATCL imeyumba. Yeye awe mshauri na aletwe mkurugenzi mpya sio Chizi I am sorry to say that.

  Vile vile board of directors ivunjwe. Wabunge wanaua hili shirika na ajenda zao za kisiasa humo ndani lisukwe board mpya with many independent directors. Chairman wa board awe mtu kama Mwapachu au any person ambaye ana experience sana katika mambo ya ndege (ndio maana nilishauri serikali iwatafute wale jamaa waliokuwa East African Airways zamani kama Captain Ngadile, Engineer Kiwia, Captain Mvungi, Engineer Tingitana na wengineo ambao waliondoka pale ATC baada ya mizengwe kuwa mingi na kuamua kwenda nchi za nje kufanya kazi). Wawe na watu ndani ya board wenye kuelewa nini kinaendelea na sio wanasiasa wanaoenda katika mkutano kuvuta per diem.

  Vile vile serikali ijitoe katika shirika hilo likishakua limesimama kwa kuliruhusu liwe listed DSE (Dar Stock Exchange) kwani wakiwemo private owners ndani mianya ya ufisadi itaondoka. Serikali ibakie kama minority shareholder.

  Vyenginevyo hili shirika litakuwa shamba la bibi kila siku.
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Gharama za kukodi Ndege ni kubwa kuliko gharama za kununua ndege mpya ambayo itadumu kwa miaka. Hapa naona Sikonge amewaaibisha sana hawa viongozi wa ATC na wizara husika.
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi mshauri wa rais ktk masuala ya uchumi ni nani kwa sasa? naomba kumjua kwa kweli.
  je wizara hazina washauri pia?
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mara moja walishaweka picha hapa JF dada mmoja mnadhiru mwenye mvuto wa haiba kuwa ndiye mshauri katika masuala ya uchumi pale Magogoni.
   
Loading...