Kuna Maandamano ya Waathirika wa Mabomu ya Gongo la mboto huko kwa RC - DSM

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,728
2,000
Nimesikia toka WAPO Radio kwamba kuna maandamano wa Wahanga wa mlipuko wa mabomu huko Gongo la mboto kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa. Kwa mujibu wa Radio hiyo waandamanaji wameishafika hapo kwa Mkuu wa Mkoa naye yupo njiani kuelekea huko kutupasha habari.

Mwenye chochote atusaidie.

Source: Pata pata WAPO Radio.
 

mooduke

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
627
250
Duh..!!! inamaana hawa bado hawajalipwa? muogopeni mungu viongozi hebu walipeni....
 

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
2,000
Na bado utasikia na wale wa mabwebande wanaliunga... serikali legelege ....wizi mwanzo mwisho./....majambazi ya pesa zetu yanatamba mitaani..... siku zao zinahesabika... wacha watu wadai haki yao.... ila watu wa dar nao wabadilike bana ccm itatumaliza
 

Jmushizoo

Member
Apr 15, 2011
73
95
jamani mkuu wa mkoa yupo kwani, si yupo kibaha sasa hivi au anafanya kazi kwenye kituo chake cha kazi au anafanya kazi kwa remoteness
 

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,083
1,225
Kama nakumbuka vizuri Serikali kupitia kwa waziri wa Ardhi Prof Anna Tibaijuka walisema kuwa wangewajengea nyumba wahanga hao na sio kuwapa 'cheque'. Sasa nini kimetokea?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom