sababu za millya kuhamia chadema

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha
 
Of course asingeweza kuupata huo uenyekiti wa chama mfu, kwa kuwa yeye si sehemu ya wafu! Ulitaka awe wafu ndo mumpe uenyekiti?
 
Alifanya uamuzi ulio sahihi, irrespective of any thing...
 
huyo mjanja,anaeona shimo akaruka.nyie mnadumbukia tu pamoja na kuvaa miwani ya macho.
mnabakia kutapatapa tu..unalo
 
Huyo ni mjanja, kwani we GAMBA kwa matarajio yako huyo mwenyekiti atakayepatikana ataongoza Vijana gani Arusha wote wpo Peeeeeopleeeeeeeeeeeees, labda aongoze wazee na kwa Arusha cheo inabidi kiitwe UWCCM.
 
Masaburi concusion(mtikisiko wa masaburi)ni ugonjwa hatari sana,meza m4c mara 1.utapata nafuu ikizidi kunywa cdm.
 
Kwani chadema ndio atapata uenyekiti ?.., (in that token argument yako haina logic)

lakini in a bigger picture who cares motives zake kwanini kahama kama kuhama kwake kunaibomoa CCM na kuijenga Chadema
 
Back
Top Bottom