Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hv jaman kesi ya mh.mnyika imefikia wp maana nilisikia kama wk iliyopita ndo hukumu itatoka lkn had sasa kimya
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba munijuze taarifa za hii gari uimara,ustahimilifu wa safari ndefu,fuel consumption yaani kifupi taarifa zote uzuri na ubaya wake tafadhalini. Kuna jama anataka kunihamishia umiliki wa...
0 Reactions
13 Replies
51K Views
Tuliambiwa kuwa gawio la TBL lingekuwa around 22 April 2012, leo ni wiki ya tatu juu ya tarehe hiyo, Je kuna mtu anafahamu kama gawio limekwishatolea au la? au kuna shida gani imetokea?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wake kama...
5 Reactions
93 Replies
10K Views
MAELEZO YA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM-TAMISEMI) Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na:-...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu walau kila kaz,ujumbe mbalimbali za CDM. Ninazikubal jitihada zao,ila niko na swal moja... Mbona jitihad za viongoz wa kuu wa Chadema jitihada zao zimekaa sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama binadamu wote na mimi nina hisia za mapenzi, mapenzi yananoga yakitanguliwa na imani yaani kuwepo kuaminiana. Huyu kimwana CHADEMA nampenda kwelikweli kama vijana wengi marijali wanavyompenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa siku nyingi sasa najuliza huu mchezo wanacheza CCM na serikali yake kwa watoto wanaocheza halaiki ni sumu kubwa kwa vijana wetu. KINA MAMA NA WAZAZI KATAENI SASA WATOTO WENU KUFANYWA NDONDOCHA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
""Huu ni ujumbe ulioshikwa kwa mtu mmoja anayejifanya ni muwekezaji! Dear Safari Outfitter, I have been informed that a certain gentleman of apparently Oriental decent as contacted several Phs...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kusema ukweli,Jamii Forums ndio imekuwa kimbilio langu la kila siku! Inaniwezesha kujua yanayoendelea humu nchini kwetu.Sijawahi kukosa kuingia JF kwa siku mbili mfululizo,sasa sijapata picha hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na wezi wenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni sawa sisi Wanyanyembe, na kwa hakika hakuna awezaye kuleta mabadiliko Tabora au kuamua kukubali mabadiliko kwa faida ya Wanatabora na Watanzania kwa ujumla ila sisi wenyewe, lakini jee, Tabora...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Greater thinker nimeleta mada hii kwa jukwaa kubwa hili wala sikwenda celebrety page ninaheshim busara zenu na weledi wenu kwa ujumla na ikizingatiwa page yenyewe ni habari mchanganyiko kwa hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri, ni katika kutimiza kile alichosema katibu mkuu mstaafu wa magamba kipindi cha uchaguzi mkuu kwamba January Makamba lazima apate uwaziri.......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ni kweli kua eyes says much more than talk????? na if so why bado 2natema vocco!
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Ndege ya waziri Mkuu ikiwa imesimama muda si mrefu Viongozi mbali mbali wakiwa wamejiandaa vema kumpokea Waziri Mkuu Muda huu Muheshimiwa Mbunge wa viti maalum CCM akiwa na Mheshimiwa Mbunge...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Asalaam Aleikhum wana JF ! Poleni na shughuli za hapa na pale. Nimetuma thread hii hapa jukwaani ili muone, msome mtafakari na mjadili hili swala. Nimeikuta kwenye email box yangu tu na si issue...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliondoka chenge kwa ubadhilifu, nyumbani bariadi akapokelewa kishujaa, ngereja ameondolewa kwa ufisadi kwao sengerema wanajipanga kumpokea kishujaa! Ndg wana jf naomba mnijuze hawa wasukuma ni...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika hali isiyokua ya kawaida madiwani wa halmashauri ya wilaya ya tarime mkoani mara jana kwa kauli moja waligoma kuendelea na mkutano wa baraza la madiwani kupinga hatua ya rais jakaya kikwete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…