Nna swali kwa wasichana wacheza shoo na Wasanii

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Greater thinker nimeleta mada hii kwa jukwaa kubwa hili wala sikwenda celebrety page ninaheshim busara zenu na weledi wenu kwa ujumla na ikizingatiwa page yenyewe ni habari mchanganyiko kwa hilo hamna atakayeuliza kwa nini nimeileta hapa


swali langu ni kwa wasnii lkn pia kwa wapenzi wa hii music natafakri na kujiuliza mara nyingi nnapokuwa natizama music pamoja na hawa wenye music nikimanisha wasnaii panapo kuwepo na wasindikizaji wa hawa wnamziki amabao mara nyingi ni wa kike
wnacheza sna tena pengne zaidi ya hata hata kufanya matendo makubwa ikiwa ni pamoja kufrahi
msingi wa swali langu hawa wnakuwa considerde wapi malipo au mshara kuuza sura tu kwenye kideo kama ni hivyo basi usanii ni upuuzi tumia mtu upate kitu girlfrnd wangu aisha kuniomba akatumiwe na masnii moja nilipo fikilia nilimjibu siku nikimuona akitumika ndo mim na yeye kwisha habari yake
hili limekaaje wadau ?????
 
Back
Top Bottom