Tarime wamkataa dc wa jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime wamkataa dc wa jk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amina Thomas, May 11, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Katika hali isiyokua ya kawaida madiwani wa halmashauri ya wilaya ya tarime mkoani mara jana kwa kauli moja waligoma kuendelea na mkutano wa baraza la madiwani kupinga hatua ya rais jakaya kikwete kumbakiza ktk kituo chake ha kazi mkuu wa wilaya hiyo john henjewele wakidai kua ni mbabe. Wote waligoma bila kujali itikadi zao za vyama. Source: tanzania daima
   
Loading...