Stella Manyanya pamoja na kujipendekeza kote hajapata uwaziri?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stella Manyanya pamoja na kujipendekeza kote hajapata uwaziri?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, May 11, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  inasikitisha.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  inakuuma nini sasa?
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ng'wanangwa hivi hii nayo ni thread unajiaibisha mkuu wewe ni mkongwe humu JF.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mama wa Richmond kwishney

  alijipambanua kama mama mpambanaji wa mafisadi kumbe ilikuwa njaa
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Thread inaweza kuwa na neno moja tu na ikawa na uzito kuliko thread ya maneno mengi
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Si haba, mkuu wa kaya alimteua kuwa RC Rukwa, huenda ndio anamuandaa hivyo siku akifanya reshuffle anamuingiza kwenye cabinet.
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Wabongo bwana..sasa mnataka awe mbunge, mkuu wa mkoa na waziri?? si wendawazimu huu?? af akiteuliwa mnalalamika..WTF??
   
 8. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyu mama mimi mwanzoni niliamini ni mpambanaji nilipogundua kuwa ni gamba gumu ni pale alipo kuwa anamwambia deo filikunjombe asiitishe maandamano kwenye jimbom lake kupinga utendaji mbaya wa wizara ya uchukuzi ambao wamekuwa mabingwa wakutoa rambirambi ajali za majini zinavyotokea!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  ndo kujipendekeza kwenyewe huko, mkuu wangu.

  asubili tena. maana mkulu hapatagi shida kuvunja baraza, labda anaweza kumuona.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa kuna uzito gani kwenye hilo neno Eng Stella Manyanya ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa dogo hilo?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mbona heading ilishawakilisha au we ulitakaje? punguza wenge mazee
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni kweli, ukimwangalia on her back si mvivu, na jamaa anavyofurahia atakuwa keshamweka kwenye listi
   
Loading...