PICHA; Pinda in Mbeya, Spotted Sugu & Mwanjelwa!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765


Ndege ya waziri Mkuu ikiwa imesimama muda si mrefu

Viongozi mbali mbali wakiwa wamejiandaa vema kumpokea Waziri Mkuu Muda huu

Muheshimiwa Mbunge wa viti maalum CCM akiwa na Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi muda huu

Waziri mkuu Muheshimiwa Pinda akisalimia na viongozi mbali mbali muda huu



Akiendelea kusalimiana na Viongozi Mbali mbali

Muheshimiwa Pinda akivalishwa Skafu na moja ya skauti Mara baada ya kuwasili jijini Mbeya muda huu






Wakuu wa Idara Mbali mbali wakiwa wanangoja kumsalimia Waziri Mkuu






Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa na Meya wa Jiji muda huu


SOSI; Mbeya yetu!

 
Back
Top Bottom