CCM na gilba kwa vijana kupitia halaiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na gilba kwa vijana kupitia halaiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gizakuu, May 11, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa siku nyingi sasa najuliza huu mchezo wanacheza CCM na serikali yake kwa watoto wanaocheza halaiki ni sumu kubwa kwa vijana wetu. KINA MAMA NA WAZAZI KATAENI SASA WATOTO WENU KUFANYWA NDONDOCHA KWA KUIMBISHWA HALAIKI KILA SHEREHE ZA KITAIFA BADALA YA VIJANA HAO KWENDA SHULE.!!
   
 2. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baya zaidi baada ya kucheza halaiki hiyo hukalishwa juani pasipo kivuli, huku viongozi wanaosema wanajali watoto wakiwa majukwaani penye kivuli.
  Juzi uwanja wa Taifa watoto walikula jua mpaka nikawaonea huruma, wakifeli walimu wanafukuzwa kumbe tatizo swali la kushiriki halaiki huwa halimo kwenye mitihani yao.
  Wazazi badilika himiza marufuku watoto kwenda halaiki himiza wasome ili nao waje kumiliki raslimali za nchi yao.
   
Loading...