Chadema,Chadema nakupenda kwa moyo wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema,Chadema nakupenda kwa moyo wote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, May 11, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu walau kila kaz,ujumbe mbalimbali za CDM.
  Ninazikubal jitihada zao,ila niko na swal moja...
  Mbona jitihad za viongoz wa kuu wa Chadema jitihada zao zimekaa sana katika mikoa Arusha,Mara,Mwanza na Shinyanga?
  Mikoa hiyo tayari CDM inafaamika sana,sasa kwa nini jitihada hizo 2siziamishie mikoa kama Mtwara,Lindi,Ruvuma na mikoa mingne ambayo CDM haijaota mizizi bado.
  Tuongeze jitihada kuelekea 2015....

  Wenu mwanachama mtiifu
   
 2. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watakuja ndugu usijali, M4C itapita nchi nzima.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ww upo dunia gani mkuu cdm imeenea nchi nzima mpaka nje ya nchi na cyo mikoa hyo uloitaja tu mkuu
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Jitihada zao zipo zaidi kwenye mikoa uliyotaja, kwa sababu huko ndo kuna wakristo wengi.
  .
  "MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".
   
 5. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tujibu hoja kwa uangalifu kwani majibu yetu ndio yanawapa mtaji magamba....based on facts CDM Wamewekeza nguvu nyingi mikoa tajwa hapo juu..jiulize ni lini viongozi wa juu wa CDM wamefika Mtwara,Lindi? tusije tukamtafuta mchawai mwishoni(2015) wakati sisi wenyewe tupo Arusha kila siku.Je wanaRuvuma hawahitaji mabadiliko? je wanaMtwara nk
   
Loading...