I will miss you so much JF!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I will miss you so much JF!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msafiri Kasian, May 11, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kusema ukweli,Jamii Forums ndio imekuwa kimbilio langu la kila siku! Inaniwezesha kujua yanayoendelea humu nchini kwetu.Sijawahi kukosa kuingia JF kwa siku mbili mfululizo,sasa sijapata picha hizi siku nne mfululizo itakuwaje. Nawatakia mafanikio mema MODERATORS,naamini hii yote ni kwa ajili ya maendeleo yetu.Mungu awabariki.
   
Loading...