Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Jun 18, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wake kama ifuatavyo: Leo asubuhi saa 10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 - saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29 ni shs.278.15 na saa 12:43 ni shs.278.13. Yaani salio linajipunguza lenyewe automatically bila ya kuitumia simu yako kwa rate ya shs.0.08 kila baada ya masaa mawili. Ndani ya masaa 24, tayari nakuwa nimeibiwa na Vodacom toka kwenye salio langu kiasi cha shs.0.96. Hivyo basi ukichukulia kwa uchache tu, kiasi cha wateja milioni mbili wa Vodacom ni kwamba tunaibiwa jumla ya shs.1,920,000/= ndani ya siku moja tu! Ukichukulia kwa mwaka mzima, wateja hao hao milioni mbili tunaibiwa jumla ya shs.702,720,000/=. To prove this; hakikisha salio lako kwenye laini yako ya Vodacom, kisha usipige simu wala kutuma sms ila angalia salio kila baada ya masaa mawili utaona kinachoendelea. Wanasheria tuungane kuwafikisha kortini Vodacom kwa wizi huu! Mitandao mingine (Airtel, Tigo, Zantel) hainyonyi wateja wake kwa mtindo wa aina hii!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ngoja nichunguze nitarudi baadae.
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umetumwa eeh!!
   
 4. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ok mheshimiwa" hoja yako ntaifanyia kazi ntarudi baada ya siku 7.
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Rostam acha wizi
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nikifanya uchunguzi leo, siwezi pata jibu, kwani ushawastua tayari.

  Kwasababu wao hujua watanzania ni mabwege na wasahaulifu, baada ya wiki 1 au mbili, wataaendelea na wizi wao.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kuna mwingine alikuja na wizi wa tigo akadai usiku hela inakatwa nikachunguza ila haikuwa kweli. Ngoja tucheki hili la voda.
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wivu binafsi
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  hiyo Kali ufisadi na uchakachuaji kila sehemu
   
 10. O

  Ombeni Charles Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @N-handsome& Rejao nina wasiwasi na hawa jamaa huenda ndo watuhumiwa no.1
   
 11. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  achana na vikombi bana njoo huku kuna marcopolo linakusubiri..
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ahaaa ndiyomaanaa! Ehee!
   
 13. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  unatumia simu aina gani na je ina applicatoons ambazo zinahitaji internet connectivity/zinaji-update auto? Natumia Ideos na inafanya background updates na nashindwa kuthibitisha
   
 14. v

  vivimama Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona ukitaka prove inabidi uwe na simu ya tochi as haya masimu ya siku izi yanakamua ndani kwa ndani bila kujua hasa updates ila kwa tz ilo lawezekana kama watu wanaiba twiga na ukubwa wote ule sembuse vocha
   
 16. t

  tambarare Senior Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani tuna option kuhama mtandao tu
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wewe fanya uchunguzkatumwa na nani?????Au wewe KABURU NIN?????
   
 18. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kaa wabongo noma. Eti ka tsh. 0.08 kwa masaa 2 ndo kanawsumbua? Voda inajathd sana kusaidia jamii, nyie mnataka pesa watoe wapi? Mnaacha kuwashambulia mafisadi wakubwa ie mapacha watatu mnaanda voda ambayo haikumalizii hata tsh. 1.0 kwa siku. Acheni hzo jamani.
   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Umefikiria kweli!?..
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  katumia tumbo kufikiri.ame-abuse kiungo chake.
   
Loading...