Gawio la TBL

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Tuliambiwa kuwa gawio la TBL lingekuwa around 22 April 2012, leo ni wiki ya tatu juu ya tarehe hiyo, Je kuna mtu anafahamu kama gawio limekwishatolea au la? au kuna shida gani imetokea?
 
Tuliambiwa kuwa gawio la TBL lingekuwa around 22 April 2012, leo ni wiki ya tatu juu ya tarehe hiyo, Je kuna mtu anafahamu kama gawio limekwishatolea au la? au kuna shida gani imetokea?
fikirikwanza,
Wewe kama Shareholder ulipaswa uchukue simu umtwangie MD. Na ikiwezakana mpige mkwara. Hau hujui kama Shareholder ni zaidi ya MD?

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
Back
Top Bottom