ukusanyaji wa kodi kwa benk za mitandao nchini na sms zinazoenda ktk namba zenye mifumo ya 15575 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukusanyaji wa kodi kwa benk za mitandao nchini na sms zinazoenda ktk namba zenye mifumo ya 15575

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by senioswald, May 18, 2012.

 1. s

  senioswald Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S cry:Nashukuru sana kwa uwepo wa mtandao huu wa jamii, hoja zangu ni:

  Hadi sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa wenye mitandao ya simu za mikononi kuanzisha bank kama aitel money, tigo pesa, m pesa, n.k mimi sijajua hadi sasa serikali kupitia benk kuu(BOT) na TRA wanachukuliaje suala hii maana ikitokea siku moja wakasitisha huduma hii ghafla nani ataye walipa pesa au ndo itakuwa kama DESI ambayo watu walilizwa na hadi sasa wanalalamika na hawakuweza kupata pesa zao.

  Suala lingine kuna hizi sms zinazotumwa ktk namba fulani kama 15050, 15575, na wanakata hela kibao zaidi ya normal sms sijajua vizuri Serikali inafanyaje kujipatia kodi kwa hizi biashara za electronics.

  Ahsante sana
   
Loading...