T-shirts za VUA GAMBA... VAA GWANDA zasambaa mjini

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Nikiwa kwenye basi juzi niliona watu kadhaa wakiwa wamevalia fulana nzuri sana zenye hii nembo, ikiwa imeandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri.

Sina hakika kama ni chama kinazitoa, au wamempa mtu tenda au ni wajasiriamali tu, bali naomba kama kuna anayefahamu zinakopatikana anijulishe nikatachukue kadhaa kwa ajili yangu na familia...
 
Safi sana Makamanda, ukombozi uko karibu. JK na Riz1 wajiandae kupanda karandinga...
 
nikiwa kwenye basi juzi niliona watu kadhaa wakiwa wamevalia fulana nzuri sana zenye hii nembo, ikiwa imeandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri.

Sina hakika kama ni chama kinazitoa, au wamempa mtu tenda au ni wajasiriamali tu, bali naomba kama kuna anayefahamu zinakopatikana anijulishe nikatachukue kadhaa kwa ajili yangu na familia...
zipige picha tuzione
 
unataka tuzione picha wapi mkuu? weka picha ili tuone kama ukombozi ndio huo unakaribia
 
Nikiwa kwenye basi juzi
niliona watu kadhaa wakiwa wamevalia fulana nzuri sana zenye hii nembo,
ikiwa imeandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri.

Sina hakika kama ni chama kinazitoa, au wamempa mtu tenda au ni
wajasiriamali tu, bali naomba kama kuna anayefahamu zinakopatikana
anijulishe nikatachukue kadhaa kwa ajili yangu na familia...

si ungewauliza uliowaona wamezivaa!
 
Inabidi chama kitengeneze za kutosha ili tuweze kumpa kamanda shibuda maana ni mpiganaji mzuri´.
Mungu amuepushie mali kirusi huyu.
 
hazikashifu chama wala hazitaji chama hiyo ni slogan tu
hawawezi kuzipiga marufuku labda wakataze pia kuvaa mavazi ya kijani
tuna uhuru wa kutosha kuvaa hizo fulana hakuvunji sheria yoyote
 
Back
Top Bottom