Je wajua kwanini jk na wenzake wamealikwa USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua kwanini jk na wenzake wamealikwa USA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Imany John, May 18, 2012.

 1. Imany John

  Imany John Verified User

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Agenda kubwa ni kilimo,lakini kwa Tanzania imeonekana ndio nchi pekee afrika mashariki inayoongoza kuuza ardhi yake kwa nchi za kigeni.
  Source;BBC SWAHILI
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hii ni kweli kabisa
   
 3. Imany John

  Imany John Verified User

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Piga picha baada ya miaka 20 kasi ya kuuza ardhi ikiendelea kama sasa nchi itakuwa wapi?
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tz ndio yenye eneo kubwa kuliko nchi zote za ukanda wa Eac kwa hiyo sio ajabu,mkuu jaribu kufikiria kidogo tu kabla ya kuleta ***** hapa
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Unabishana na habari?
   
 6. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui kaenda kuuza pande gani sasa hivi...
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  So far TZ tumeshauza hecta 2+ mil out of 14+ kwa afrika nzima zilizouzwa kwa wageni (wawekezaji). Lakini ishu ya msingi ambayo Obama amemwita JK ni kuhusu madini ya Uranium, kwa nchi kama USA, Uranium ni muhimu sana kwake, kuliko ardhi, kwa sababu ardhi hata yeye bado anayo kubwa plus ardhi ya canada, lakini Uranium ndio mpango mzima, mate lazima yamtoke, afu ameshapima kichwa cha JK amekiona ni chepesi, rahisi kumrubuni, hata akimpa kabinti kwake poa tu, anaanguka saini...
   
 8. Imany John

  Imany John Verified User

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Arumeru kumejaa,nadhani musoma panafaa
   
 9. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa viongozi wenye akili za kufikiria huwa si vipaumbele vya amerika, lakini maraisi waoga, wazembe, na wavivu wa kufikiri ndo wanaopendwa maana wao kila kitu watakubali bila kufikiri
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Makupa ulisababishia ban wewe (lukokoyana lasima lukapane) Ngoja tu
   
 11. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  My president is selling his own countrymen kwa manufaa yake....maajabu ya wanadamu.
   
 12. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tunarudi enzi za Chief Mangungo!
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  vipi kuhusu population ya Tanzania kulinganisha na nchi nyingine za EAC?
  Jaribu kufikiri kidogo kabla ya kujibu *****!
   
 14. Imany John

  Imany John Verified User

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Population ina decrease,nadhani ndo ma planner ndo wanachomwaminisha prezidaa
   
 15. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Duniani kote raslimali ikiwemo Ardhi inayofaa kwa kilimo zimepungua au kutoweka kabisa.
  Kwa vile Tanzania bado inazo raslimali hizo ndiyo maana hawa akina Obama wanatafuta naman ya kuwa karibu na Presida ili hatimaye wamlaghai na kuachia kirahisi raslimali hizo.
   
 16. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tutakiona akyamungu paka 2015 tutaishi kwa kuhama hama km ndege.
   
 17. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tusharudi kitambo, president wetu safari haziishi na nafkiri anaenda kuuza rasilimali zetu huko nje.
   
 18. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kuwa na eneo kubwa ndo uuze kwa wageni. Mwalimu Nyerere alitunza ardhi kwa makusudi kwa ajili ya kizazi kijacho. aliona mbali. sasa kuwa na eneo kubwa ndo mnauza, vizazi vijavyo vitaishije. ninini hatima ya utaifa wetu ardhi kubwa ikishamilikiwa na wageni?
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  tz inaliwa.
   
 20. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima itapungua tu. kwa hii misaada ya madawa family plan tunayopewa. maana misaada mikubwa ya USA ni vyandarua family plan, Ondoa mkono sweta na inayofanana na hiyo
   
Loading...