Majambazi wenye silaha wavamia kituo cha mafuta Nyamongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi wenye silaha wavamia kituo cha mafuta Nyamongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyengeli, May 18, 2012.

 1. Kinyengeli

  Kinyengeli JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jana jioni muda wa saa 06:30 mjambazi wenye silaha za moto na mapanga wamevamia kituo cha mafuta kilichopo Nyamongo Tarime na kufaniukiwa kupora kiasi kidogo cha fedha kutoka kwa muhudumu wa kituo hicho bila kufanikiwa kupora fedha za kituo hicho!!!! Baada ya masaa mawili muda wa saa 2:00 usiku majambazi hao walivamia Bar ya Riziki iliyopo eneo la Mlwambe na kujeruhi watu watano na kuteka magari yaliyokuwa yakitoka Tarime kwenda Nyamongo, Majeruhi walikimbizwa hospitali ya wilaya Tarime hatimaye Bugando Mwanza kutokana na hali zao kuwa mbaya!!!!
   
Loading...