Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati tunalia na matumiz makubwa huku jk akihofia kuigawa wizara ya maliasili na utalii kutokana na kutokuwa na bajeti kwa hili, kuna wiza ya Mary Nagu, uwezeshaji na uwekezaji. Nini majukumu yake?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mississauga resident Shriya Shah, 33, a candidate in the last provincial election for the riding of Mississauga East-Cooksville, died during her descent from Mount Everest. KATMANDU, NEPAL—A...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cameron rejects Megrahi probe plea View Photo Abdelbaset Ali Mohmed al-Megrahi, the man convicted of the 1988 Lockerbie bombing, has died Play Video Video: Lockerbie bomber dies 0:49 | 1017...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikisoma hapa jf kuwa cdm ni chama cha wachagga mara cha ukoo mara cha kidini,mara ukanda,naomba mnipe ufafanuzi bila kukurupuka,musoma,ukerewe;kigoma ;iringa mbeya ,mwanza ni ngome...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimeanza kibarua kwenye hii kampuni, ofisi nitakayokuwa naitumia nimekuta kuna picha tatu ukutani, ya Mwalimu, Ben na ya Mr. Pilot. Nimemuambia huyu Secretary nikitoka lunch nikute...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
hawa jamaa ni wa*** unawapigia simu unawaambia unashida wanakwambia usubiri usikate simu wakati customer care yao sio bure ni ya kulipia.mtu akitoa shida yake tatueni haraka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natoka Iringa niko ndani ya gari nimesikia mtangazaji wa redio moja maarufu hapa iringa akisoma habari hii toka magazetini. Tafadhali mwenye details atumwagie jamvini ukweli tuuone NAWAKILISHA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sisi kama wadau wakubwa wa ardhi, hususan mashamba, viwanja na nyumba, tunapenda kuhimiza serikali kuweka kipaumbele cha umiliki wa ardhi kwa mlala hoi katika Mkakati wa Kilimo Kwanza Tanzania -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za wanajf naombeni kuuliza kwa anayejua service line/huduma ya kufunga umeme bila nguzo ni shiling ngapi katika mkoa wa kilimanjaro Nawasilisha!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I think this is now too much. The current leadership has reached a point of killing the innocent citizens for accepting a dubious lease of obsolete aeroplanes - ATCL management, the parent...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Leo ni Jumatatu tarehe 29 Jamadul Thani mwaka 1433 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 21 Mei 2012 Miladia. Siku kama ya leo miaka 14 iliyopita, Jenerali Muhammad Suharto alilazimika kujiuzulu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ED AWALINDA DR. JULIUS DINDA NA WENZAKE, WANAWAGOMEA WAGONJWA KUFANYA OPERATION MPAKA ATOE LAKI 3 AU 7. YASEMEKANANA DR. DINDA NI NDUGU YAKE UKABILA UTATUUA. MPAKA LEO NASUBIRI OPERATION. muhusika...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Edited
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TUME YA KUWACHUNGUZA YAANZA KAZI LEO, WAHAMISHIWA MIKOANI KIAINA Mwandishi Wetu(GAZETI MWANANCHI) KASHFA nyingine imeibuliwa katika Idara ya Uhamiaji.Taarifa mpya yenye kurasa tano, imewataja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la Wananchi Arusha limeng'oa daraja lake waliloliweka katika njia ya Fire kuelekea Njiro baada ya kuitaka halmashauri kujenga daraja hilo kwa muda mrefu bila mafanikio. Mara baada ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Juzi jumamosi katika uwanja wa general tyre kulikua na mechi ya tour operators wa hapa arusha,miongoni mwa timu zilizoshiriki kulikua na timu ya wild track inayotokea katika jimbo la...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi crdb bank wana minimum ya muda gani ku clear telegraphic transfer? Nimetumiwa tt toka denmark toka ijumaa nikiangalia kwenye account yangu naona hela zimeingia hata sim banking kwenye mobile...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Najaribu kuwafananisha viongozi nilowataja hapo juu,,,,hasa wale wa enzi za kabla na baada ya ukoloni na hawa ambao wanatutawala sasa,,,,,mkwawa alipigana na wajeruman akipinga kutawaliwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa safarini Sumbawanga na Mpanda,nilipofika Mpanda nikahamua kwenda CRDB kuchukua vijisenti kabla ya kuendelea na safari Tabora.CRDB Tawi la Mpanda ni kati ya Majengo mapya ya kisasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…