Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
Juzi jumamosi katika uwanja wa general tyre kulikua na mechi ya tour operators wa hapa arusha,miongoni mwa timu zilizoshiriki kulikua na timu ya wild track inayotokea katika jimbo la nassari..nassari alichezea timu hyo,alicheza kama centre forward(no 9) akafunga bao..