watu wa mawasilianio nisaidieni?

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
663
1,000
jamani naomba msaada, kuna dada amenitukana kwa sms matusi ya nguoni. Ushahidi sms zote zipo. Kisa cha kunitusi amekuwa akilazimisha mahusiano ya kimapenzi muda mrefu, nilikataa, lkn aliendelea kunifutilia kwa mda, kila aliponipigia simu alilazisha nimtembelee nyumbani kwake sikuwa tayari kwani nilijua dhamira yake, hata alipotaka kuja kwangu sikumruhusu na kwa bahati nzuri hajui ninapoishi. kiukweli amenisumbua muda mrefu sana. Amekuwa akilazimisha nimtumie pesa kwa madai ya kukopa na pesa alizotaka ni nyingi kiasi ambacho kumkopesha mtu ambaye tumekutana barabarani ni ngumu. huyu dada yeye ni mwl wa shule moja ya kata. Siku mbili zilizopita aliniomba nimkopeshe sh lak2.5 kwa madai kuwa amekula hela za wanafunzi za necta. Nilikubari nikamuahidi kumtumia jamatatu yaani leo, lakini kabla sijatuma nilipatwa na hofu kwamba anawezi asinirudishie, nikaamua kukataa ndipo alipo nitumia sms zaidi ya 5 za matusi ya nguoni. Sijapenda naomba msaada hatua za kuchukua dhidi yake.
 

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,012
2,000
hizi dhihaka.
mwanaume unagopa kubakwa.
ungetonya basi watu tukajibakize
 

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
899
1,000
wanaume km nyinyi bado mpo humu ilitakiwa muondoke baaada ya yale matengenezo makubwa mwez huu mnatuchosha na kutugandisha ubongo mana post zenu za baridi mno.........................kakojoe kalale
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom