Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Jeshi la Wananchi Arusha limeng'oa daraja lake waliloliweka katika njia ya Fire kuelekea Njiro baada ya kuitaka halmashauri kujenga daraja hilo kwa muda mrefu bila mafanikio.
Mara baada ya kuipata habari hii nililazimika kuzama eneo la tukio na kuona ni kweli daraja hilo limeondolewa na juhudi za kujenga daraja hilo zikiendelea kwa kasi.
Nilipojaribu kuwauliza wafanyazi wachache waliokuwepo wakiendelea na kazi walisema ni kweli JWTZ wameondoa daraja lao lakini ni kwa sababu eti njia hiyo ipo kwenye mchakato wa kuwekewa lami na daraja lile lisingefaa. Nilipowauliza mbona hata zile njia ambazo zimeanza kujengwa hazijamaliziwa inakuwaje wajeda hao walichuke apema hawakuwa na majibu zaidi ya kusisitiza majibu yao yaliyoyatoa.