Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu
wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom...
habari kuhusu wafanyakazi wa tbc mkoani kilimanjaro ni majungu tupu ambayo yametengenezwa na katibu msaidizi wa klabu ya wanahabari mkoa wa kilimanjaro nakajumo james kwa sababu anazozijua yeye...
tuna kumis,tunajua unaumwa.
tumejua umuhimu kwetu na tuna omba kukusaidia matibabu.
nipo tiyari kukuchangia kwenda india kwa matibabu.
nielekeze wapi nitume mchango.
na a hidi kuchangia sh...
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani...
Ni mara ya pili sasa mkenya huyu akisababisha mimi kupoteza tenda kwa kupitisha maneno ya uongo na fitna juu ya uwezo wangu,kufanikisha azma yake ya kupata tenda hizo..nikiangalia uwezo ninao...
Nipo jijini dar es salaam kwa likizo yangu ya mwaka, Jana nililala katika hotel moja kubwa maeneo ya mbezi Baharini , katika Hali ya huzuni Leo alfajiri nimegundua Wamenimalima ka bastola kangu...
The news revealed to Regional Administrative Secretaries, DEDs, and council auditors by RALG Deputy Minister (education) Majaliwa that 30bn/= from ‘radar change' will be used to buy desks in...
Ukifuatilia vyombo vingi vya habari vya Tz km itv, chan10, tbc n.k utaona ktk taarifa ya habari kuna sehem ya habari za africa mashariki, lkn ukifuatilia vyombo vya habari vya kenya na uganda km...
si mara moja wala mbili utasikia kauli hii haipiti wiki masikioni mwangu bila kulisikia hili kwetu sisi wabongo tunaacha kufanya kazi kwa nguvu na kuwa makini utasikia wenzetu wakenya wapo hivi...
Naomba mwenye fomu ile ya ku update customer details ya benki hii anirushie humu. kama una link nitafurahi pia.
Nimeingia website yao inasema ipo under construction.
Nashukuru.
Tunasikia kuna wa dada wana vaa bangili zinazo tengenezwa na kondom za kike.
Alie waahi kuona au kupata picha jinsi zilivyo tunaomba picha pls.
Maana haikai akilini zinakuwaje.
Nina muda mrefu sana sijasikia kauli kwamba "VIJANA NI TAIFA LA KESHO" badala yake nasikia "HUU NI WAKATI WA VIJANA" n.k, Ninaamini kwamba Msimamo kwamba Vijana ni Taifa la Kesho linabeba ujumbe...
Wananchi wa zanzibar kuanzia mwezi ujao nao wataanza kuonja shubir ya kulipia gharama za umeme kwa kiwango cha juu,hatua hiyo imekuja baada ya gharama za umeme kupanda kwa asilimia 85,
sosi:dw radio
ukisoma hapo kwenye underlined sijui utaelewa nini
Wafanya kazi na wizara
Wafanya kazi katika mkutano huo walitaja mambo waliyodai ni kero kwao na yanayoangamiza Shirika hilo ikiwamo mikataba...
Mgogoro uliopo hivi sasa katika klabu ya waandishi wa habari mkoa wa
kilimanjaro unasababibishwa na kile kikundi ambacho kina watu wachache
wale walioweka uongozi uliopo madarakani hivi sasa...
Miili ya wafanyakazi wa barabara Iringa ambao walikufa katika ajali hiyo
Ubongo ukiwa umertapakaa eneo la ajali
Mwili wa dereva Taxi ukiwa bado kutolewa
Ajali mbaya imetokea mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.