CRDB telegraphic transfers inatia hasira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB telegraphic transfers inatia hasira

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Feb 6, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi crdb bank wana minimum ya muda gani ku clear telegraphic transfer? Nimetumiwa tt toka denmark toka ijumaa nikiangalia kwenye account yangu naona hela zimeingia hata sim banking kwenye mobile inaziona lakini mbona siwezi kuzichukua kwenye atm? Huu utaratibu ni standard au ubabaishaji
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ww sema umeishiwa na uko desparate, mpigie kimei usaidiwe nikupe # yake?
   
 3. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nipe mkuu? Ni kweli nazihitaji dola hizo...
   
 4. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo no ya kimei vp?
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hawana kanuni mkuu, TT za local kuna siku inatumwa unaipata siku hiyo hiyo, kuna wakati mwingine unaipata baada ya siku tatu, wakati mwingine inachukuwa wiki inategemea na jinsi maofisa wa banki walivyo lala na kuamuka.
   
 6. b

  babaAbby Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mm tt huwa hazina post Value date...meaning zina imediately value date kama zipo kwenye a/c na huwez kuwithdraw meaning wapeziapply kwa value date so mpaka due or mature date ifike....Pole ndg ila pesa zako utazipata.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  next time tumia western union..kitu ni hapohapo unachukua fuba.
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yeah,,crdb wana magumashi flani they need to change kuna wakati jamaa yangu aliamuru watransfer pesa kulipia gari UK kupatikana TT mpaka mshikane mashati
   
 9. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanakata hela nyingi kwanza
   
 10. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kimei ni wakati wa KUONDOKA ama kufanya kazi. malalamiko hayo hatuyapendi kwa ustawi wa benki
   
 11. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssssss
   
 12. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaa
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Yaani mimi pia yalinikuta una akaunti pale lakini kukufanyia transaction ya kutuma pesa nje utafikiri unataka kuua. Raha ni Twiga Bankcorp.
   
 14. M

  MERCYCITY JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Kutuma pesa kutumia CRDB ni hasara maana nilituma pesa majuzi US$ 3204 na niliyemtumia akapewa Tsh 4,871,000 ambayo ni exchange rate ya 1520 kwa US$. Nilipojaribu kuangalia exchange rate ilikuwa ni Tsh 1560 kwa US$. Niliona kuna shida kidogo hapo.
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
Loading...