Kipaumbele cha MKIKWATA kiwe ni umiliki wa ardhi kwa mlala hoi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipaumbele cha MKIKWATA kiwe ni umiliki wa ardhi kwa mlala hoi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Viwanja na Nyumba, May 20, 2012.

 1. V

  Viwanja na Nyumba Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi kama wadau wakubwa wa ardhi, hususan mashamba, viwanja na nyumba, tunapenda kuhimiza serikali kuweka kipaumbele cha umiliki wa ardhi kwa mlala hoi katika Mkakati wa Kilimo Kwanza Tanzania - MKIKWATA.

  Bila ya walala hoi kuwezeshwa katika kumiliki ardhi, pengo la walio nacho dhidi ya wasio nacho litaongezeka na kukwamisha maendeleo yaliyokusudiwa katika dhana nzima ya MKIKWATA.

  Tunaunga mkono kwa dhati MKIKWATA, ila tunatoa tahadhari kwa jamii juu ya changamoto zinazojitokeza katika suala zima la umiliki wa ardhi, kwa nia njema kabisa ya kufikia malengo yaliyokusudiwa.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  MKIKWATA?!, mbado mimi kusikia.!
   
 3. V

  Viwanja na Nyumba Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gama sera ya kilimo imebainisha wazi kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili. MKIKWATA = Mkakati wa Kilimo Kwanza Tanzania, na tayari Rais Obama ametoa shavu kwa kuahidi mamilioni ya dola za marekani kusapoti MKIKWATA ili kuondoa njaa na kuinua pato la taifa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...