Ukanda wa chadema upo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukanda wa chadema upo wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Marire, May 20, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mimi nimekuwa nikisoma hapa jf kuwa cdm ni chama cha wachagga mara cha ukoo mara cha kidini,mara ukanda,naomba mnipe ufafanuzi bila kukurupuka,musoma,ukerewe;kigoma ;iringa mbeya ,mwanza ni ngome kuu ya cdm huo ukanda umekaaje hapo ,waha,wakurya na wahehe nao ni wachagga?jibuni hayo kwanza
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ritz na Rejao hebu changamkeni mujibu hii.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Nape na Shibuda wake wanayo majibu sahihi.
   
 4. P

  Peter-masawe Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Taasisi ya kutathmini utawala bora ilipokutana na CCM, Shibuda kama mwanachama wa hiyo taasisi, baada ya mazungumzo rasmi, alitaniana na Kikwete na akamwambia anataka kuwa mgombea binafsi na yeye kikwete amuunge mkono. Na ni kutokana na utani huo ndio maana kikwete kazungumzia mgombea binafsi. Watu wote waliopo karibu wanasema Shibuda hajazungumzia kugombea urais kupitia CHADEMA. Lakini kauli ya Shibuda imepindishwa kuwavuruga wapinzani. Na BAVICHA kwa kukosa umakini imeanza kupiga kelele kutokana na kile ilichosoma katika magazeti kama vile magazeti yetu siku zote yanaandika ukweli. Sitegemei Shibuda kulifafanua hili kwasababu na yeye kama binadamu wengine ana-pride yake, kwanini BAVICHA HAWAJAWEZA HATA KUMPIGIA SIMU. Huu ni mfano wazi wa kukosa umakini. Na inawezekana huyo Heche ambaye CHADEMA wasiokuwa na upeo wanamsifia ni usalama wa taifa, kwanini kitu kilichozungumzwa katika maudhuwi ya utani akakipaisha juu kila mtu ajuwe, kwanini viongozi wa kitaifa wa CHADEMA hawajamdhibiti huyo Heche, hivi wanafikiri anasaidia chama au masilahi yao binafsi. Kuna ulakini katika hili la kumuachia Heche (BAVICHA) amuandame Shibuda kwa kauli ambayo haijathibitishwa, na ulakini huo utafanya watu wakae upande wa Shibuda. Ni mpango uliokosa umakini hata kama ilikuwa nia ya Mbowe kumuangamiza Shibuda kisiasa. Why BAVICHA(CHADEMA) IS SO EASY TO BE MANIPULATED BY MEDIA AU CCM? Ingawa Shibuda hakuzungumzia kugombea kupitia CHADEMA bali kupitia mgombea binafsi anayo haki ya kuhoji kuna ubaya gani yeye kutangaza nia ya kugombea. Hiki ni kitu kidogo lakini kimekuzwa kwa kukosa umakini, kwasababu mtu akitangaza nia sio maana yake jina lake litapitishwa na CHADEMA, lakini ukweli unabaki Shibuda alizungumzia mgombea binafsi na sio kugombea kupitia CHADEMA, haya mengine yote .yametengenezwa na vyombo vya habari pamoja na BAVICHA kama sio CCM. Swala jingine la kujiuliza ni kwanini hao BAVICHA hawakupiga kelele pale Nasari alipokosea na kusema kaskazini wajitenge au hiyo ndio sera ya CHADEMA, kauli ya Nasari ina hatari kwa CHADEMA kuliko kauli ya Shibuda kugombea urais kupitia CHADEMA kama kweli Shibuda kasema. Upendeleo huu wa CHADEMA ndio utakao wafanya wasukuma na watu wakabila nyingine(WASIOTOKA KASKAZINI) wajione hawana nafasi ndani ya CHADEMA. SHIBUDA hana haja ya kutoa siri za CHADEMA tayari tabia ya BAVICHA inaonyesha kuna mipango ya siri ya kumuangamiza kisiasa. Ndio lazima msukuma awe makini na tabia hii ya upendeleo, haswa ukizingatia wanachekwa na wachaga kwa kuchagua wachaga mwanza. Wenzenu wakichagua upinzani wanachagua watu wa kabila zao nyie mnachagua wachaga na wakurya, mtaamka lini haswa ukizingatia wachaga wanawazarau. Wanataka huyo Shibuda wenu akiamrishwa na wachaga awe kazi yake kusema ndio bwana mkubwa. Asilimia 15% ya idadi ya watu Tanzania ni wasukuma, hata kama idadi hii haitoshi kushinda urais sio idadi ya kupuuzwa na kukubali zarau, ulaghai na uongo wa wachaga wanaokuja Jamii Forum kwa majina ya uongo kama Wambura, Masanja na Kadhalika.
  UBAGUZI UNAONEKANA PALE SHIBUDA ANAANDAMWA BILA YA SABABU YA MSINGI LAKINI PALE KUNASABABU YA MSINGI YA KUMWAANDAMA NASARI BAVICHA HAWAFANYI HIVYO.
   
 5. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usipoteze muda wako kwa hoja zinazotolewa na watu wavivu wa kufikiri. Wana macho lakini hawaoni kwani hata viongozi wa kitaifa wa CHADEMA hawatoki kaskazini peke yake. Mjinga ni yule anayesikia mjinga katoa hoja za kijinga na yeye akazisadiki!!! Miaka hamsini hakuna cha kusema ni siasa za maji taka tu ndio wanachokijua, ukitaja maendeleo watakuambia wananchi wengi sasa hivi wanamiliki simu. Nachoka kabisa eti wanaosema hivi wengine ni maprofesa na madokta. Niishie hapo kabla sijatoa neno chafu!!
   
 6. K

  KWA MSISI Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo Tanganyika na Zanzibar!!
   
 7. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  m4c karibu dar, kuna rafiki zangu kama watano walikuwa wakinisumbua sana kuwapatia kadi za chadema lakini kutokana na majukumu sikubahatika kuwapatia mpaka leo, sasa nitahakikisha nafika nao siku hiyo wajiunge na gari kubwaaaa
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nadhani jibu kamili atalipata kutoka kwa Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari anaejiita Rais wa Meru.
   
 9. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ushaishiwa wewe,hivi Komba aliposema mbinga iwe sehemu ya malawi hakuwa na kosa??,Waislamu waliposema nchi igawanywe kati ya waislamu na wakristo hawakuwa na kosa?Uamsho huko zenji wanaodai muungano uvunjwe na Nassari nani mhaini??Kosa linakuwa kosa likifanywa na watu wa cdm ila ccm wao ni malaika?Hivi Malima alikutwa na silaha ya kivita hotelini amefanywa nn
   
 10. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni chama cha ukanda wa Tanzania in East Africa
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ofkozi CDM kilipo anza kilikuwa na sura hiyo ya ukanda But now days things are changed, chama kimepanuka all over the country But huwezi kuondoa ukweli kuwa wenye chama wanatoka ukanda fulani na ndio wanaamua nini kifanyike ndani ya chama
   
 12. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Simpo, CDM ni chama cha watanzania. Ila kuwa na adabu unapoongea na watu mchanganyiko kwakuwa huwezi kuzuia
  majibu ya kukurupukoa kama wewe binafsi huna majibu na kwakuwa hujui basi jitahidi kutulia ili ufundishwe.

  Point ya msingi ni kuwa kweli watanzania wote wenye akili timamu na waliochoka na madudu ya CCM wanakipenda chama mbadala ambacho ni CDM pekee.
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,666
  Trophy Points: 280
  Hawa ni misukule ya Nape hata hawajui Dunia inaendaje,
  tuwasamehe bure jamani.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mikakati yote ya nani awe chamani, au chama kifanye nini inafanyikia kaskazini. Asilimia kubwa ya viongozi wanatokea kaskazini.
  Wabunge wengi wa viti maalum wanatokea kaskazini.

  Hata Nassari alisema CDM ni ya wana kaskazini
   
 15. A

  ADK JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,166
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kwa sasa iko wazi kuwa cdm ni chama cha watanzania. Ila ukitaka kuangalia uasisi basi umeumia
   
 16. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukanda uko Tanzania Bara
   
 17. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssssss
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Peter Masawe,

  Usiwalaumu sana si unaona jina lenyewe! BAVICHAa. What do you expect kwa tu anaeongoza kikundi chenye jina hilo?
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red mbona mkuu unajipinga mwenyewe?Unakiri kuwa chama kimepanuka all over the country ukimaanisaha kina wanachama toka sehemu zote za nchi sasa hii dhana ya wenye chama kutoka kanda fulani inatoka wapi tena ? Au hujui kuwa wenye chama ni wanachama wenyewe?
   
 20. m

  mamajack JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mh,kwaweli huo waraka wako unaonekana ni jinsi gani umebobea kwenye migongo ya mafisadi,mmezoena kutaniana hata kwenye vitu vya msingi ndo maana mmeimaliza nchi sasa mnamtumia huyo mpuuzi wenu maana mmejaa tamaa,anyway ungekuwa unajua watanzania halisi wanavyoishi usingeandika hicho kitu lakini kwa vile wewe mwenyewe unajiona mgeni kwenye hii nchi ndo maana huna chembe ya uzalendo hata robo,unaona kutaniana kuna maana.
   
Loading...