Mkwawa,kinjeketile,mangungo na viongozi wa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwawa,kinjeketile,mangungo na viongozi wa sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 21, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Najaribu kuwafananisha viongozi nilowataja hapo juu,,,,hasa wale wa enzi za kabla na baada ya ukoloni na hawa ambao wanatutawala sasa,,,,,mkwawa alipigana na wajeruman akipinga kutawaliwa na wazungu,,,,,kinjeketile alipigana na wajeruman akipinga ardhi kuchukuliwa na wajerumani,mangungo aliwapa wajeruman ardhi kwa kusain mkataba asoujua maana hakusoma,,,,,
  baada ya kupata uhuru,,,hasa zama hizi,,,tunaona watawala wanawaita wazungu including wale walopigana na akina mkwawa,,,wajer wachukue rasilimali zote including ardhi,,,,,sasa nauliza nani alikua na busara au nani mwenye busara????
   
Loading...