Moi yawa tishio kwa rushwa! Hela zaombwa waziwazi; Mkurugenzi awalinda wahusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moi yawa tishio kwa rushwa! Hela zaombwa waziwazi; Mkurugenzi awalinda wahusika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mti2013, May 18, 2012.

 1. m

  mti2013 New Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ED AWALINDA DR. JULIUS DINDA NA WENZAKE, WANAWAGOMEA WAGONJWA KUFANYA OPERATION MPAKA ATOE LAKI 3 AU 7. YASEMEKANANA DR. DINDA NI NDUGU YAKE UKABILA UTATUUA. MPAKA LEO NASUBIRI OPERATION. muhusika ana tamba hafukuziki. wakati wengine wakifanya kosd wanapewa barua kesho yake. mateso kanda ya ziwa ukabila
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama mwezi mmoja sasa nilipeleka mgonjwa wa ajali ya pikipiki MOI. Ilikuwa majira ya saa moja jioni na mgonjwa wangu alikuwa amevunjika mguu. Tumelumbana na madaktari way past usiku wa manane na baadae ilibidi kutoa laki 3 ili mgonjwa afanyiwe operation maana alikuwa anapoteza damu nyingi. Finally, baada ya hongo alifanyiwa operation kwenye saa 4 asubuhi (more than 12 hrs tangu apate ajali!).

  Kutoka theater tumempeleka wodini nako ikabidi tuanze mazungumzo upya! Hakuna kitanda cha kumuweka mgonjwa na baada ya hongo nyingine tena tulipewa godoro hivyo mgonjwa akalala chini-lakini kuna godoro.

  Dawa, kuanzia ganzi mpaka panadol tualiambiwa tukanunue (nje kwenye pharmarcy). Tumenunua ganzi ya siku mbili na kumkabidhi babu mmoja nurse (alitusadia sana huyu babu mungu ambariki) ili awe anamchoma kama inavyotakiwa. Baada ya siku mbili tukamchukua mgonjwa.

  Kwa maoni yangu, mgogoro kati ya serikali na madaktari haujaisha. Na kinachoendelea sasa hivi Muhimbili ni vifo mtindo mmoja. Kama tungekuwa kwenye mfumo unaoeleweka, vyombo husika vingekaa chini na kufuatilia cases za watu wanaokufa Muhimbili/MOI. Ni wengi mno. Ndio, kuna tatizo la kukosa dawa, vifaa n.k lakini kwa sasa mgogoro umehamishiwa kwa wagonjwa. That place is slowly turnining into a mass murder center!

  Historia haiandikwi kwa siku moja.
   
 3. H

  Helios JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kama wewe kweli mgonjwa umejuaje ni kabila moja na 'ED' (kama ulivyoandika ambayo pia inatia mashaka). na mambo ya barua unameyajuaje au wafanyakazi wakiandikiwa barua zinabandikwa kwenye mbao za matangazo?
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii habari imekaa kimajungu sana!
  MOI wanapokea wagonjwa wangapi kwa siku?
  Operation ngapi zinafanyika kwa siku?
  Kwa nini ndugu yako awe wa kwanza kufanyiwa na sio ndugu wa mwenzio?
   
 5. 654

  654 Senior Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je umeshawahi kumweleza ED wa MOI juu ya hiyo shida yako na akakudharau? au unanukuu maneno ya watu wengine na kuyafanya yako? Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi yeyote ya Serikali no Ofisi wazi ya Umma. Nenda hapo elezea shida yako naye akikupuuzia ndio ulete hapa kama uzi.
  Juzi Mkurugenzi huyo unayemsema ni mkabila alimuomba radhi mtu ambaye si wa kabila lake wale si rafiki yake pale kulipotokea mkanyiko uliosababisha kucheleweshwa kwa utoaji wa huduma kwa mgonjwa.
  Chukua hatua
   
 6. 1

  1973 RAJ MINJA Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kwa kweli ni mambo ya kustaajabu kama ule usemi usemao
  ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
  Maana yake huyu anaye ripoti si mgonjwa bali ni mtu wa ndani ya moi yawezekana kuna visasi vilivyojificha. Habari hii ichunguzwe msiharibihane majina kwa vitu vidogo.
   
 7. 1

  1973 RAJ MINJA Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :lol: TUMESOMA LAKINI TUNAJIULIZA HUYU DR. DINDA NI NANI KATIKA TAASISI.
  MBONA HAO WENZAKE HUKUWATAJA MAJINA?
  WAZI TUELEZE UMEGOMBANA NA DINDA? INAVYOONYESHA WEWE UNATATIZO NA UONGOZI LAKINI SI DR. DINDA ILA UNATAKA KUMTUMIA DINDA KAMA NGAZI YA KUPANDIA JUU NA KUMSHUSHA ALIYE JUU NA KUMDHALILISHA
  LAKINI NJIA UNAYOTUMIA NI YA KIJINGA KWA WATU WALIOELIMIKA.
  HII SIO SIASA UNATUPA TABU KUFIKIRI.:eyebrows:
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sio siri kuwa pale Moi kweli rushwa ni nje nje; ukitaka faili yako lazima uwe na mtu ambae utampa chochote ili upate huduma!! Sio majungu huo ni ukweli mgonjwa huwezi kupata appointment kufanyiwa mazoezi kwa mama cheza mpaka utoe choichote!! Tafadhalini wahusika fanyeni utafiti haya sio majungu ndio hali halisi.
   
 9. 1

  1973 RAJ MINJA Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nchi yetu suala la rushwa si geni masikioni mwetu.
  Kubwa tuangalie jinsi ya kukomesha hii rushwa.
  Yaonekana hapo moi kuna makundi ndani ya taasisi
  wewe kama umetoa rushwa unapaswa kushitakiwa hata yule aliotoa laki tatu naye pia kikaangoni kwa kutoa rushwa.
  Basi itolewa kwenye vyombo vya habari kwamba moi ni kitovu cha rushwa acheni jamani taasisi ya mifupa ni moja tanzania
  mnapiga majungu, kweli kuna walakini ndani ya hizi habari, msikurupuke kabisaaaaaaaaaaaa!!.
  Swali fupi ni njia zipi umefanya kukomesha hizi tabia ukiwa kama mwana jamii?
  Kuliko kuongea na kuchafua chombo cha jamii kinacho hudumia jamii.
  Angalia wanasiasa wabunge kwa mawaziri wamekula vingapi sembuse hao ww hujaumwa acha watu wafanye kazi zao. Toa taarifa takukuru watakusaidia mbona fedha za moto nyingi takukuru kachukue wala rushwa washikwe?
  Acheni zenu!!! Tunajua mdomo nyumba ya maneno lakini si machafu kama hayaaaaa!
   
 10. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada majungu yataku-cost, sema ni njaa inakusumbua, si uende Agha Khan, ni 2Mil, bila ubishi na bima wanapokea. U sound like Diwani wa Gambaz.
   
 11. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu mti2013,
  I believe you are smarter than this.
  The way potrayed the accusation,
  it is pretty clear to any thought reader that, you are MOI employee.
  You are not who you pretended to be! a patient, admitted in the ward, waiting for operation.
  Further more mti2013,
  The way you put it, gives one an idea that there is a power struggle at MOI,
  that there are factions at MOI, and perhaps you belong to the oppressed wing or rather, the group which is in a desperate struggle to rule MOI after current ED slips.
  You speak a lot about your interests in the accusation you made.
  And this Dinda you brought into the light, i think he is just a decoy. You could mention few names but instead you stuck with Dinda and ukabila.
  How can one doctor (Dinda) be the hindrance for medical services offered by MOI to more than a hundred patients a day?!
  To be specific, hindrance to more than two hundred patients admitted at MOI wards?
  You didn't play your cards well mti2013.
  It is obvious you and your gang want the job of Dr.Maseru (the ED), convince me otherwise...!
  And now I recall the issue ya kichwa-mguu, it is likely that was deliberate plot. You might have played a good role then in that saga! deny it!
  Or may be you have a very good intention, to make sure your workplace is rushwa-free zone...!
  but the approach! How you incriminate Dr Dinda alone.
  Suppose Dinda is terminated today, will MOI be a Rushwa-free zone?
  You painted him badly?
  Maybe you two (mti2013 and Dinda) have your grudges, cross-interests, but it can never justify your action exposing him in this forum.
  You could recruited TAKUKURU, it is their role, though he is boasting as you claim but in the end he could have been nailed, if at all he is involved.
  Kinachooneka ni kuwa umeamua kumuaharibia.
  Enlighten me mti2013 labda kuna mambo sijui?
  Hoping to hear from you!
  Kazi njema.
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  The fact is you pay normal patient bills at the same time you have to dig down to your pocket again for better services...this means attention from nurses and Dr should all together be accompanied by the relaltionship you have with these two wings!! its terrible for those who have not...they suffer alot yani hii nchi imeoza simple wala msikatae...
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Una ufahamu wowote kwa hili unaloliandika au umeamuwa kuropoka? Agha khan ni lini ilisomesha Madaktari wa tiba za Mifupa? MOI peke yake ndio kimbilio la Watanzania kwa matatizo hayo, hata uende Agha Khan ni lazima wafanye appointment na daktari wa MOI ndio aje kukuatend.

  MOI kuna tatizo kubwa sana hivi hata kama una pesa zako kupata kitanda kwenye Private ward ni lazima utumie nguvu ya pesa, sijafanya research hasa kujuwa tatizo ni nini lakini bila kumung'unya maneno viongozi wetu wangekuwa wanatibiwa Muhimbili nadhani mambo mengi yangerekebishwa.

  Kwa miaka yote niliyoishi nchi hii sikuwahi kujuwa kama kuna unyama kama Muhimbili ambako baadhi ya manesi hawana huruma wala wito wakazi hiyo walioomba kwa hiyari yao, nashukuru nimemuuguza Mama yangu na amefanyiwa oparesheni MOI na sasa yuko nyumbani lakini sababu za kuichukia CCM na serikali yake zimeongezeka kuliko nilivyokuwa naichukia mwanzoni.
   
 14. n

  ndio mimi New Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera kwakupretend mgonjwa, ni bora ungeanzisha commedy show coz TV nyingi. nathani ulickokifanya kama interlect ungekwenda takukuru wangekusaidia kuliko kuchafulia watu majina,inaonekana unaagenda nyingine ya siri. nathani ni vizuri ukaieleza tukakuelewa, kuliko kutuletea habari za majungu. pia inabidi uende takukuru wewe mwenyewe kwa kutoa rushwa
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ndo maana hata necta wakienda watu wawili wamepoteza cheti mmoja anapewa kipya mwingine anaambiwa tutatuma statement of results unapohitaji. Tuacheni majungu nyie mnataka wagonjwa wenu waonwe na kuhudumiwa vizuri nurses 2 kwa wagonjwa 100 ataweza? Lazima umlipe overdose unayompatia. Ndo maana kuna ippm ambako unalipa zaidi na mgonjwa wako anahudumiwa vizuri. Ukimleta general ward lazima alale chini mpaka nafasi ipatikane. Dawa hakuna lazima ukanunue, nyie si mliamua kukaa upande wa wanasiasa! Mlikubali jk awaahidi kuwajengea barabara za juu,automatic hospitals, meli kila ziwa! Sasa hivi anauza nchi na nyie mpo tu mnawashabikia? Na huyu anayeleta majungu hii ni power struggle, mgonjwa hawezi kuleta huku mambo haya akijua kwamba anaumwa. Patients look only for cure. Moi inahudumia watu wengi sana kwa siku,kuna mtu namfahamu aliyeyushwa mara tatu sababu ya list lakini baadaye akafanyiwa operation. Tatizo lenu mnataka mkifika on the spot mgonjwa wako ahudumiwe na huku umekuta kuna list ya watu wanamsubiri daktari huyo huyo na kuna baadhi ya vipimo havijafanyika. Doctoring a patient is not as cliking a computer!..
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  ndio mimi wewe nani!!?? maana naona umefunguwa ID hii maalum kwa ajili ya kujibu thread hii tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hao madaktari wengine mbona huwataji?
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  source wapi?
   
Loading...