Mtoto wa mbunge chadema kizimbani kwa wizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa mbunge chadema kizimbani kwa wizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kidogo chetu, May 22, 2012.

 1. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Natoka Iringa niko ndani ya gari nimesikia mtangazaji wa redio moja maarufu hapa iringa akisoma habari hii toka magazetini.
  Tafadhali mwenye details atumwagie jamvini ukweli tuuone
  NAWAKILISHA
   
 2. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe ndiye umesikia habari hiyo then unataka mwenye details amwage How? Nadhani ungeeleza huyo mbunge ni nani kidogo ingejadilika.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,808
  Likes Received: 1,123
  Trophy Points: 280
  Kwani mtoto wa mbunge hana kinga ya mashitaka pindi mzazi wake akiwa mbunge?. teh
  .
  "IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY CREATED MAD, MAD AND MADNESS".
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ubunge ni wa mzazi wake ,yeye ni raia kama mimi na wewe anapovunja sheria ni lazima ashuhulikiwe mzazi akiwa mbunge wa CUF,CCM au TLP wote ni 'MAJI YA NYANJA''
   
Loading...