Bei ya Umeme kupanda zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya Umeme kupanda zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 22, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa zanzibar kuanzia mwezi ujao nao wataanza kuonja shubir ya kulipia gharama za umeme kwa kiwango cha juu,hatua hiyo imekuja baada ya gharama za umeme kupanda kwa asilimia 85,
  sosi:dw radio
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inapanda kwa asilimia 85 toka Tsh. ngapi? jaribu kuwa specific kidogo
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wataununua umeme shilingi 160 kwa unit,
  lakini kwa sasa bei ya umeme ni sh 120 kwa unit,
   
 4. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado ni ndogo sana, Bara wanalipa 276 kwa unit kwa mtumiaji wa kawaid nyumbani. Bado tunawalipa fadhila.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hassan ally mbaruku ambae ni meneja wa ZECO amesema bei ya umeme zanziba ni nafuu sana tofaut na nchi nyingine
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yaan hapo watalalamika na watasema BORA MUUNGANO UVUNJIKE
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kwani bei ya umeme visiwani ni tofauti na bara?? Kwa nini??
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ndo faida ya muungano hiyo
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  waziri wa muungano ndo ana jibu halisi
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hapo ndo wamepandisha nini? Huku tunanunua sh 276, haitoshi hiyo tanesco wanapaswa kupandisha tena
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tuantoa rushwa ili wazenji wapende muungano.
   
Loading...