Mkenya huyu na biashara zangu..

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,679
40,933
Ni mara ya pili sasa mkenya huyu akisababisha mimi kupoteza tenda kwa kupitisha maneno ya uongo na fitna juu ya uwezo wangu,kufanikisha azma yake ya kupata tenda hizo..nikiangalia uwezo ninao mkubwa kushinda yeye , ila yeye amenizidi katika fani ya fitna..nimfanyaje huyu jamaa maana nazidi kupoteza fedha nyingi...
 
sasa wewe unazidiwa ujanja ndani ya nchi yako? angalia ni watu gani anawatumia kupenyeza hizo fitina, na kama mnaishi nyumba moja hama kabisa
 
Kenya ni rafiki mbaya sana, wakenya kwa fitina, kutibuliana hizo ndio zao nawafahamu sana, nimefanya nao kazi kama sehemu mbili, watu hawa wakenya ni balaa, hata huu muungano wa afrika mashariki sijui tusubiri matokeo tu!!
Kura yangu mimi nasema siutaki muungano wa afrika mashariki sababu ya roho mbaya za wa kenya sio rafiki mzuri hata kiduchu x 10000000000000000000!!!!!!!!!!!!
 
Ni mara ya pili sasa mkenya huyu akisababisha mimi kupoteza tenda kwa kupitisha maneno ya uongo na fitna juu ya uwezo wangu,kufanikisha azma yake ya kupata tenda hizo..nikiangalia uwezo ninao mkubwa kushinda yeye , ila yeye amenizidi katika fani ya fitna..nimfanyaje huyu jamaa maana nazidi kupoteza fedha nyingi...
tumia fitina zaidi yake.
 
ni kweli wakenya wamekuwa wakitumia ujinga wetu kujinufaisha hasa kwenye ajira,kujipatia ardhi na maswala kama tenda lakini hii ni nchi yetu hatuwezi kukubali tunyanyaswe na wageni hata kama wana pesa ama wana mahusiano na viongozi ila habari yako ungeiweka kirefu ingekuwa rahisi kwa watu kukusaidia ndio maana nimeona watu wamekuwa wakichangia kijuu juu
 
Back
Top Bottom