Ukweli kuhusu wafanyakazi wa tbc kilimanajaro..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu wafanyakazi wa tbc kilimanajaro.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M4C ARUSHA, May 22, 2012.

 1. M

  M4C ARUSHA Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgogoro uliopo hivi sasa katika klabu ya waandishi wa habari mkoa wa
  kilimanjaro unasababibishwa na kile kikundi ambacho kina watu wachache
  wale walioweka uongozi uliopo madarakani hivi sasa chini ya kapteni
  Kija Elias (tbc)baada ya kushindwana mamabo fulani.

  Ukweli ni kwamba Mecki Imefanya mambo ambayo ni makubwa tofauti na
  uongozi uliopita sio wanahabari pekee wanajua bali hata taifa zima
  linajua kupitia muunganyiko wa klabu za wanaadishi wa habari utpc.

  Ila tatizo ni hii klabu kujaa watu wanojifanya kuwa ni usalama wa
  taifa au wanamitandao ukiongozwa na Kija Elias eti kwa kuwa yupo
  katika chombo cha serikali na yeye ni mwanausalama wa taifa

  hulka hii imekuwa ni mzigo kwa wenzake hata katika tukio la kiserikali
  ambalo kila mwanahabari ana haki ya kupata au hata kama ni urejeshwaji
  wa nauli ni haki yao lakini yeye ni mtaalam wa kufanya uchakachuaji
  ili wengine wasipate.

  Mfano hivi karibuni katika ziara ya mkuu wa mkoa wa kilimanjaro
  alipozunguka mlima kilimanjaro kwa kutumia helkopta kwa ajili ya
  kujionea uharibifu wa mazingira kijana huyo yaani Kija alizunguka na
  kujitengezea zaidi ya laki 7 kwa kutengeneza dvd kwa madai kuwa ni
  maagizo ya mkuu wa mkoa na kupekeka nakala tanapa,kinapa,na moja
  mkoani na kuwalazimisha kinapa kulipia nakala ya mkuu wa mkoa wakati
  huo huo akalipwa tena ile nakala katika ofisi ya mkuu wa mkoa pamoja
  na gharama ya kazi

  mfano mwingine ni kikao cha hivi karibuni cha bajeti katika wilaya ya
  same alipoaamua kuwachinjia waandishi wenzake baharini na kumwamuru
  mkurugenzi wa halamshauri hiyo asiwalipe waandishi wengine kwa kuwa
  hawajatokea chombo cha serikali

  mfano mwingine ni wakati wa kumuaga mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na
  kumkaribisha mkuu wa mkoa mh Gama alienda kuomba malipo lakini wenzake
  hawajalipwa hata thumuni.

  Huu ndio uhalisia wa baadhi ya watu ambao tunafanya nao kazi ieleweke
  kuwa TBC sio chombo cha kukandamiza waandishi wengine na wala sio
  chombo cha kuingilia utendaji wa mecki kwani mecki ni taasisi imara
  inayofuata miongozo ya sheria bila kuwaogopa hao wanausalama uchwara
  wenye fedha za kurithi ambao muda mwingi ni majungu
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nashindwa kuelewa... ninyi ni waandishi wa habari au wafanyabiashara. Mwandishi wa habari na kuuza cd wapi na wapi!
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  TBC my *ssssssssssssssss
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo tatizo ni posho ya ziada!, hivi waandishi huwa hawana ajira?, huwa hawalipwi ujira wowote na huyo anayewatuma?!, o.k. Ndoomaana wengine wamesemana kuwa huhonga hata miili yao?!, tafuteni mfumo bora wa kufanya kazi la sivyo mutaendelea kutia aibu.
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Hee hee heee akaamua kuzunguka na helkopta ili kujionea uharibifu wa mazingira...... Kweli tuna viongozi
   
Loading...