Wenzetu Wakenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenzetu Wakenya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimpe, May 24, 2012.

 1. kimpe

  kimpe JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80
  si mara moja wala mbili utasikia kauli hii haipiti wiki masikioni mwangu bila kulisikia hili kwetu sisi wabongo tunaacha kufanya kazi kwa nguvu na kuwa makini utasikia wenzetu wakenya wapo hivi mara vile kwani hao Wakenya wana nini cha ziada ambacho sisi tumekosa si tujifunze basi au hao wakenya wana mikono 100? je na wao huwa wanasema wenzetu watanzania badala ya kila siku wenzetu wakenya wenzetu wakenya wenzenu na nani? ukitaka sema wenzako wakenya
   
Loading...