Nalizimia gwanda la CDM, nalipataje wakuu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nalizimia gwanda la CDM, nalipataje wakuu???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by telitaibi, May 22, 2012.

 1. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu salama jamani?? Hili gwanda la CDM nalipataje jamani? Huwa nikimuona kamanda Mbowe nakoma mwenyewe.

  Pls nisaidieni wana JF
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata mie nalitaka nitinge nalo jangwan
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi zile nyeusi wanazopendeleaga kuvaaa Dr na Zitto ni sare za chama au?Jumamosi ndani ya Jangwani,niko Moro ila kumi na mbili asubuhi nitakua ndani ya bus to Dar!M4C
   
 4. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ukweli ziko kikazi zaidi tunapata wapi
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  Kwanza weka chama na itikadi zake moyoni na akilini gwanda zipo tu utapata fika jangwani utapata usisahau kuja na majirani na marafiki pia!!
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sahihi kabisa mkuu,ila ukiona mtu anataka atinge gwanda ujue chama na itikadi zake zimejaa moyoni kupindukia,na ndio maana wengine tunafunga safari toka Moro kuja Jangwani jumamosi,nadhani Jangwani patakua hapatoshi jumamosi
   
 7. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I wish to get one GWANDA.....WHERE CAN I FIND IT???? Watu hawatoa majibu ni wapi gwanda zinapatikana!!! Au tunapima kwa mafundi na kushona!!!!
   
 8. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa yeyote anayetaka GWANDA ZA CHADEMA ANI- PM haraka ama tuwasiliane kwa E-mail hii: tanzaua@gmail.com
   
Loading...